Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Poleni sana wakuu,
Kwangu Mimi hayasimuliki.ila kubwa zaidi ni kitendo cha kuuza friji langu na TV kwa pamoja ili kujinusuru na njaa.
Jambo lililoniumiza hadi leo ni mtoto wangu kuniuliza kwanini nimeitoa TV ukutani nikawapa watu Sasa sisi tutaangalia nini?
Hii iliniumiza sana licha ya kwamba nilisolve na kuirudisha fasta lakini nilijikuta mwenye hatia,mengine ni mazito hayaelezeki ila muhimu tumuombe Mungu kwa Imani iliyo thabiti.