Shida zilipokubana uliwahi kuuza kitu gani kwa bei ya hasara ili ujinasue?

Poleni sana wakuu,
Kwangu Mimi hayasimuliki.ila kubwa zaidi ni kitendo cha kuuza friji langu na TV kwa pamoja ili kujinusuru na njaa.

Jambo lililoniumiza hadi leo ni mtoto wangu kuniuliza kwanini nimeitoa TV ukutani nikawapa watu Sasa sisi tutaangalia nini?

Hii iliniumiza sana licha ya kwamba nilisolve na kuirudisha fasta lakini nilijikuta mwenye hatia,mengine ni mazito hayaelezeki ila muhimu tumuombe Mungu kwa Imani iliyo thabiti.
 
Hadi leo nashindwa kuamua, natamani kufahamu na sitamani kufahamu... unanijua.

Pole sana b..., I feel your pain.
 
Uboho..... Nikamchapa nao demu kwa 30,000 tu. Wakati kama ngekomaa yule demu kwa shows zangu angenipa hata 300,000.
 
Pole mkuu,sisemi,umenigusa Mimi sana!
 
Unaishi mitaa gani hiyo?!!
 
Ameen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…