Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Daaahh, pole sana mkuuShida zisikie Tu Mku Mwaka 2015 nilikuwa na Pikipiki nimempa jamaa afanye bodaboda nikapata tatizo kubwa sana wakuu. Nilipata kesi ambayo huenda leo ningekuwa natumikia kifungo jela ma la heshima yangu ingekuwa imeondoka na imani yangu kwa watu.
Nikapata bahati ya kuongea na mlalamikaji pamoja Na mwendesha mashitaka tuimalize kifamilia. wakawa wanahitaji hela kiasi fulani hivi kwa haraka nikawaomba wasubiri kidogo mshahara uingie wakatisha ukichelewa kesi kesho naanza kuita Mashahidi.
Nilitafuta mteja usiku ule ule Niliinunua 1.3M lakini niliuza laki tano fedha taslimu nikaenda kuuza na TV yangu kwa elfu arobaini pamoja na friji langu la laki sita kwa laki mbili tu mzee.
Mwaka jana nilipata changamoto ya kazi sehemu nilifua kinoma hadi nikaanza kutamani visungura maana ya bai sina, kodi ikawa mzigo home nilienda kuuza kiwanja changu nilinunua 4M nikauza kwa 2M ya kupew kwa awamu.
BINADAMU WAKIJUA UNA SHIDA WANAWEZA KUFANYA NEGOTIATION NA MKEO, WARUDISHE MAHARI WAMCHUKUE