Shida zilipokubana uliwahi kuuza kitu gani kwa bei ya hasara ili ujinasue?

Daaahh, pole sana mkuu
 
Hakuna mtu hajawahi kuuza kitu akitingwa.

Hata Mimi nimewahi kuuza HP elite 150k Ili nipate nauli na hela ya kwenda kuanzia maisha Dar.

Ila Sasa nilifulia kurudisha taulo Mkoani ilikuwa Kwa Msaada wa msamalia mwema ambae tuliwahi soma nae sekondari Hadi Leo Huwa namtafuta sijampata πŸ˜†πŸ˜†
 
🀣🀣🀣🀣 Inahuzunisha ila acha nicheke hao watoto ndio wamenichekesha alooo!!
 
Daah aisee shida hz so poaa.

Kuna simu niliuza kwa bei ya hasara mix mteja kunambia hz cm ni mbovu ila ntanunua hvo hvo, cha ajabu anatumia mpaka leo na ni miaka kadhaa sasa na sifa kedekede.
😹😹😹 huyo ana dharau sana, nahisi ulitamani kumzaba kofi ila utafanyaje tena na una shida.!!
 
Ni rahisi mtu kukusaidia Ukiwa na mambo ambayo sio shida au starehe ila kwenye Changamoto Kila mtu anakukwepa na kukutenga,hapo anaeweza kukusaidia ni ndugu au Jamaa yako yeyote mwenye moyo tena Huwa ni wachache sana labda ubahatike mtaani uwe na washkaji wanaokufahamu vizuri napo ni Msaada wa mda,ishu ikiwa prolonged tafuta Msaada mwenyewe ujisaidie.

So ni muhimu sana kutunza hela ya akiba
 
mimi kuuza vitu imechangiwa sana na kamari
 
Kesi ipi hiyo ya kukuvunjia heshima? Ulibaka?
 
Uliuza skrepa 🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣 tukiwaambia muwaachie wake zenu wafanye hata biashara ndogondogo za kujikimu hamtaki.!!
Ona sasa umekuwa chinga bila kutegemea 😹😹
 
Nilikunywa smart gin miaka miwili mpaka sukar ikashuka mwilini noma sana ........
Shida ni mwalimu anayetumia formula ngumu kukuelewesha topic usipo elewa ndo bai bai baba jeni maraaa kitanziiii shwaaaaaaaah....
😹😹😹😹
 
Noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…