Shida zilipokubana uliwahi kuuza kitu gani kwa bei ya hasara ili ujinasue?

Wewe sio Mkinga tena?
 
Kuna Itel A50 hapa used two weeks, iko na box. Leteni 120,000
 
Uachage uongo mbona dada ako niko single hapa [emoji81][emoji81][emoji81]
Hutaki shemeji weyeee!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uolewee mara ngapiii dyadyaa?? Ndoaa iko na tunatamba nayoo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uolewee mara ngapiii dyadyaa?? Ndoaa iko na tunatamba nayoo
Mdogoangu ndoa ilikufa nikapewa talaka tatu, nikikumbuka mpk usiku wa saa 10 naimbiwa “My African queen” na shemejio nalia sana 😭😭😭😹😹😹
Nipeleke kwa mganga wako nimrudishe mume wangu 🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em fanyaa uwahi nikupelekee kabla hajafaa.
Ndoa tuwe nayo na tutambee nayooo. Weuweeeeeh.
 
Maisha ni safari ndefu. Unapata somo kwa vitendo na unashiriki mwenyewe kwenye somo hilo
 
Staili hizi hizi za kuuza kitu kwa shida ndio zinatuumiza wengi tunaodhani kila anayeuza kitu kwa haraka anashida,wengine ni matapeli.mimi niliuziwa simu kali kwa bei kitonga kwa madai eti muuzaji anashida..ooohoo kumbe ni jumba bovu nimedondoshewa,baada ya wiki nikapewa kesi simu iliibiwa K/koo dukani..na duka lilivunjwa.uzuri polisi najua kuishi nao,kinyume na hapo ingekuwa ni balaa.
 
Boxer cc 150 (X) Domo la Mamba

ikiwa na Miezi 6 tu, nili iuza kwa 950k

Japo hiyo 950k ilikuja saidia kumalizia Nyumba ilonsaidia kupata mkopo wa 20m

Lakini bado inaniuma kuiuza ile pikipiki Mpya Kiasi kile kwa 950k

Usiombe ukutane na shida yenye DEADLINE kila.mtu ana shida na zinavumilika.

Ila kuna zile shida zenye DEADLINE muda ukiisha Hasara yake ni mara 20 ya hiyo ambayo ungeipata kwa kuuza hicho cha thamani ulichonacho.

Mungu atusaidie Kuwa na uwezo wa kufikiri kwa haraka na kutatua mambo kwa Uweledi.
 
Tuelekeze tuishi nao hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…