Continental Ground
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 1,907
- 3,895
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pagumu sana! ...hata kwa kutumia mafuta ya nazi!!!..Dah sio poa, dadeki zao wote walioniweka katika mazingira haya;+...Mungu akufanyie wepesi mkuu utatoboa tu
Au sio!Uzuri MUNGU n mwema shidaa Huwa hazidumu Bali uja nakupita kiufupi ..
HAKUNA HALI YAKUDUMU KTK MAISHA
Dah! [emoji24]Pole Mzee kipusa!Nani hao?!!
Sio kweliReal talk mkuu
Vipi kama wapo watano? Utawaoa wote?Mwanamke anayeweza kusimama na mwanaume wakati wa shida/msoto, huyo ndio rafiki wa kuoa.
Hizo nyimbo ni kama catalyst ya kuchochea akili kuruka juuWakuu tusi Kate tamaa, let's keep grinding.
[emoji117]Mkiwa mna pitia hayo, msisahau kusikiliza hizi nyimbo [emoji120][emoji123].
[emoji117]IPO siku by good luck gozbert
[emoji117]Want it all by burna boy
[emoji117] Ojuelegba by wizkid
[emoji117]Over Dem all by davido
[emoji117]Mishe mishe by centano
Hamna mjomba, Zina kukumbusha kuto kata tamaa.Hizo nyimbo ni kama catalyst ya kuchochea akili kuruka juu
Sina stress , nina masikitiko...huzuni ...na ukiwa!Hamna mjomba, Zina kukumbusha kuto kata tamaa.
[emoji117]Sema mjomba Ina onesha un stress[emoji849][emoji848]
Sawa utapata Rehema.
The real one huwa ni mmoja tuVipi kama wapo watano? Utawaoa wote?
Huwa nafurahi niki wakuta ndugu zangu YoungPastor na EMMYGUY
Yatapita mkuuSina stress , nina masikitiko...huzuni ...na ukiwa!
Sio kweli bhana. Acha uchoyo Ndugu!Mbona unajadili sana watu, pambana na matatizo yako maana kila mtu ana ya kwake!
Psalm 22:6Mbona unajadili sana watu, pambana na matatizo yako maana kila mtu ana ya kwake!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Achana na hao nyang'au....dawa yao ipo jikoni.