MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
- #81
Dar pa kishua. Huko sipaweziMkuu, upo Dar kama mimi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar pa kishua. Huko sipaweziMkuu, upo Dar kama mimi??
Nikipata pesa kwenye shindano la stories of change, nikumbushe nitakupa hata ya vocha kidogo.Dar pa kishua. Huko sipawezi
Hizo ni imani tu, accord to me. Ninaamini sana katika science.Unajua namna ya kusafisha mwili wako, ili kuondoa laana katika mwili wako? Au unajua kupiga mswaki na kuoga tu? + Kujipulizia mipafyumu
Au sioNi Mungu Pekee ndiye hawezi kukuacha.
Natanguliza shukuraniNikipata pesa kwenye shindano la stories of change, nikumbushe nitakupa hata ya vocha kidogo.
Au sio!Hizo ni imani tu, accord to me. Ninaamini sana katika science.
Laiti kama watu woooote wa Tanzania hii tungeweza kukusanywa eneo moja na kila mtu ataje shida zake, basi kuna baadhi wangejiona kumbe wana unafuu mkubwa sana wa maisha.SHIDA HATA KWA MWENZAKO USIZISIKIE
Au sioLaiti kama watu woooote wa Tanzania hii tungeweza kukusanywa eneo moja na kila mtu ataje shida zake, basi kuna baadhi wangejiona kumbe wana unafuu mkubwa sana wa maisha.
ItategemeaHauta jinyonga lakini
Mabwepande. wewe wa wapi mzee mbona skuelewiKazi ndio kipimo cha UTU bob! We wa wapi, Mzee Baba?
Pamoja mkuu💪Tupo mkuu. Tunakanyaga kwa makini
Mimi nipo pande za Mwakitolyo Huku Geita. We si wakshua...utanielewaje?Mabwepande. wewe wa wapi mzee mbona skuelewi
Maisha yenyewe mafupi sijui tarehe yangu...R.I.PHii ni lyrics ya Langa Kileo (RIP)
Anaweza asikose chakula ila akawa na shida inayoumiza kuliko kukosa chakulaUlisemalo ni sahihi mkuu, lakini ni mara chache sana kuona mtoto wa kishua anapitia changamoto za kukosa msosi kama sisi wa uswahilini.
Maisha yenyewe mafupi sijui tarehe yangu...R.I.,,
......kwa mfano??Anaweza asikose chakula ila akawa na shida inayoumiza kuliko kukosa chakula
Matawi ya juuMaisha yenyewe mafupi sijui tarehe yangu...R.I.P