Shida zisikie tu kwa mwenzako. SIO POA!

Shida zisikie tu kwa mwenzako. SIO POA!

Familia bora inajengwa kwa kujuana mapungufu ambayo mwenza anayaziba bila kuleta taharuki katika jamii. Kila ndoa ina mapungufu yake ambayo wanandoa wanajuana mke/mme bora lazima azibe madhaifu ya mwenza wake. Kinyume cha hapo hakuna ndoa ni kufurahishana tu.
 
Vipi kama ana sifa hii ila ana udhaifu wa kulalamika lalamika?😁 atafaa kuwa mke au apigwe chini?
Hakuna mwanamke mlalamishi anayeweza kuvumilia msoto wa mumewe/boyfriend wake. Hao huwa wanakimbia haraka sana.
 
Ujafikwa ila yakikukuta iyo science yako hutojua itakapopotelea
Sio lazima wewe uwe kama mimi. Walogeni wazungu kama ushirikina unafanya kazi. Maeneo ya wanaoamini ushirikina ndio kuna umasikini wa kutupwa kama huko Mtwara na Kilwa.
 
Ujafikwa ila yakikukuta iyo science yako hutojua itakapopotelea
Uhakika wa hicho ulichoongea umeutoa wapi?

Kama mtu analalamika juu ya mumewe kutokua na muda na familia inakupa vipi uhakika kuwa atamuacha kwenye msoto?
 
Back
Top Bottom