Loimata
JF-Expert Member
- Dec 1, 2022
- 749
- 1,741
kulazimishwa kumuacha umpendae kisa hana Status inayoendana na nyie......kwa mfano??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kulazimishwa kumuacha umpendae kisa hana Status inayoendana na nyie......kwa mfano??
Huyo ndiye wa kuoa haijalishi anadanga ili aje aokoe familia maisha yasonge.Mwanamke anayeweza kusimama na mwanaume wakati wa shida/msoto, huyo ndio rafiki wa kuoa.
Haya pia ni maumivu mkuu??kulazimishwa kumuacha umpendae kisa hana Status inayoendana na nyie
Vipi kama ana sifa hii ila ana udhaifu wa kulalamika lalamika?😁 atafaa kuwa mke au apigwe chini?Mwanamke anayeweza kusimama na mwanaume wakati wa shida/msoto, huyo ndio rafiki wa kuoa.
Hakuna mwanamke mlalamishi anayeweza kuvumilia msoto wa mumewe/boyfriend wake. Hao huwa wanakimbia haraka sana.Vipi kama ana sifa hii ila ana udhaifu wa kulalamika lalamika?😁 atafaa kuwa mke au apigwe chini?
Ujafikwa ila yakikukuta iyo science yako hutojua itakapopoteleaHizo ni imani tu, accord to me. Ninaamini sana katika science.
Sio lazima wewe uwe kama mimi. Walogeni wazungu kama ushirikina unafanya kazi. Maeneo ya wanaoamini ushirikina ndio kuna umasikini wa kutupwa kama huko Mtwara na Kilwa.Ujafikwa ila yakikukuta iyo science yako hutojua itakapopotelea
Uhakika wa hicho ulichoongea umeutoa wapi?Ujafikwa ila yakikukuta iyo science yako hutojua itakapopotelea