Shigongo aliwazidije clauds mapene hadi akawa juu zaidi yao

Kwa wachaga umenoa wee huwajui akina meridian ngorika kidia haon ni wachache tu ninao weza kuwapa mikono achilia mbali anika maiko ngaleku (yuke alieanzisha biashara ya dala dala za angan ) wewe
 
Huyu jamaaa leo simuelewi kabisa, yeye amekazania matajiri wa kijijini kwao, hivi kila mtu akitaka aanze kusifia na kutaja matajiri wa kwao si itakua balaa
 
wata kwambia eti ni bashite ndo tajir yao
 
Shigongo gazeti za udaku ndo zilimbeba... Sasa hivi hali ni tete watu wamehamia mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…