Shigongo amuonya Diamond, amlaumu kutoza pesa nyingi shows za ndani...

kuna ukweli katika haya aliyo andika shigongo ingawa watu wengi hatupendi kuusikia ukweli ukisemwa
 
Ata kingilio kiwe laki tano nitaenda tu embu miss kufa kwa roho yako mbaya
 
Sema ww ndo hutoenda
 
Alafu kingine shigongo asimfananishe diamond ni wasani wa ajabu diamond anavaa karibu ya milion 200 unataka apige show za milioni ishirini si itakuwa aibu
 
Eric ana hii tabia akishindwa kufanya kazi na nyie anazusha mambo, kuna kipindi aliomba udhamini kwenye shirika flan akajibiwa kwa sasa ofisi haina hela...cha kushangaza alivyotoka pale akaanza kuongea vibaya kwenye vyombo vyake vya habari kuhusu ile shirika...ana roho mbaya sana yule
 
Kwani hamna wasanii wengine akafanya nao kazi kwa hizo bei anazotaka?!...mbona yeye hapunguzi bei ya magazeti yake
 
Kama alivo andika Mzee Shigongo huko instagram.Huyu jamaa mi naona yupo sahihi kabisa.itabidi uongozi wa WCB ufanyie kazi maneno ya Shigongo.Ukweli unauma.
 
Hoja za Shigongo kumbe ndio hizi? Yani mtu afanye show kisa amefanya tuu...... yani afanye show kufurahisha watu huku yeye na familia yake waendelee kuteseka au baadae tuje kutoa lawama kuwa alikuwa anafanya show lakini amekufa masikini....Shigongo acha ujinga..
Muziki ni biashara kama biashara zingine Shigongo aache ujinga kuna watu wanatoa laki hapa Tanzania kwenye kumuona msanii sasa asimpangie msanii bei ya show kisa watakao kuja ni watanzania...

Kwanza asilete uongo kuwa Diamond anatoza 100m kila show,Diamond si mjinga bali ana angalia aina ya mteja na aina ya show ya kufanya... Shigongo anatakiwa kujua kuwa si lazima Diamond afanye kila show wakati anapewa pesa mbuzi kwa alipofikia Diamond anatakiwa akifanya show imlipe kweli kweli maana asipo ingiza hela sasa baadae watakuja kumuandika kwenye magazeti yake kuwa alicheza na hela.

Shigongo unatakiwa kujua hutoweza kumuharibia Diamond kwa kuweka hadharani mambo yake binafsi ili asipate show bali kupitia makala yako umemuongezea thamani.. na hii ulio fanya ni dhambi na ni kosa.

Shigongo hata yeye hatukuwai kumpangia bei ya magazeti yake bali wanaoweza kununua wana nunua wasio weza wana acha...na yeye aanze kuuza magazeti Tsh 100/= hadi sasa sijaona hoja ya maana...
Nchi hii ina wasanii wengi hizo million 4 akawape wasanii wengine....

Mtu kama Diamond ana majukumu makubwa sana tena sana angalia watu walio mzunguka wote wale wana haki ya kulipwa hivi kweli Shigongo anategemea ataweza kumlipa Diamond kwa kutegemea mapato ya mlangoni hahahahaha ...kweli nimeamini ameanza kuchanganyikiwa ..
 
Kwani hamna wasanii wengine akafanya nao kazi kwa hizo bei anazotaka?!...mbona yeye hapunguzi bei ya magazeti yake
hata mimi amenishangaza sana tena sana...kumbe makala hii imekuja baada ya yeye kukosa deal hahaha
 
Hayo maelezo marefu sijayasoma, ila naona kama huyo bwana hizi wiki mbili hatambi kabisa!... Watu wapo busy na nchi yao tu, angetoa kanyimbo angesikika.....astaafu kuimba mapenzi tu
Siku nyingine jitahidi kusoma walau kidogo.
 
Teh Teh...kwa lipi? Sema Shigongo amechoka kufikiri tuu anafikiri ataweza kumuharibia Diamond kwa hizi makala? hiyo hela wapo wanaweza kutoa na kumpa Diamond kama yeye hawezi aache...kuna watu wanaweza andaa show kwa kiingilio cha 30,000/, 100,000/= 200,000/= na wakampa hiyo hela Diamond na wakapata na faida...
 
Mkuu umeongea kweli tupu, na ndio maana Diamond anajitahidi sana kuimarisha brand.
 
December 31 alikuwa janwani sea breeze kwa 30k then january 1 alikuwa iringa kwa 10k. Anachokiongea shigongo akina mantiki katika ulimwengu wa kisasa. ukiachana na huduma ya kisanaa, diamond ni brand kubwa, hao mapromoter wanaweza wakamlipa diamond mil10 then wakatafuta sponsorship ya events hata coca wakaweka hizo 100mil. Huyo shigongo ni promoter tu, eti ataishia kufanya shows nigeria, so amemaanisha huko nigeria ndio kuna fans wenye pesa kuliko bongo au ni suala la sponsorship. Mapromoters wote wangekuwa na akili fupi kama hizi basi tamasha kama sauti za busara zanzibar lisingefanikiwa, inshort kusaport hii kitu ni kufurahia umaskini wa wasanii wetu.
 
Utaje hapa, acha kuleta habari nusu nusu
 
Wanajuana hawa..
Leo mzee yusufu kamwambia daimond kaota kua anasom quraan kwa sauti nzuuriiii pia anamshaul leo ijumaa asimose kwenda msikitini
 
Sio lazima kila mTanzania akaone show ya huyu kijana naseeb,umeshindwa kufanya nae kazi kipindi ya mbagala sasa hiv unataka yuko na akina ne-yo stage moja afu unaleta ujinga wako,jua kijana kawekeza huyo manake ulizoea kuleta skendo na bongo muv wako sasa bongo muv imekufa huna pakutokea na on top of that kuna social network wallah magezet yako hutauza tena.Ndo mana unahangaika na naseeb apunguze bei upige hela za bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…