Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kumbukeni CCM Inatembea Mitaani Inasema Wazi Inashindwaje Na Ina DollarZote🤣🤣
Kipindi cha kutafuta wadhamini ni kipi? Yaani unatafuta wadhamini kwa utaratibu upi?Eti amechukua endorsement?Watu hawachukui wanatafuta. Malalamiko yameanza mapema sana.
Akichaguliwa nani ndio yatakuwa maslahi mapana😎Yule mjinga mwenye ameshajimilikisha shirikisho kwa kuwahonga wajinga wenzake wenye njaa, pasipo kuangalia maslahi mapana ya mpira wa migiuu nchini.
Yaani anagombea na hajui endorsement zinatafutwaje?Unapochukua fomu unajaza wadhamini waliokudhamini katika nafasi tajwa.Kipindi cha kutafuta wadhamini ni kipi? Yaani unatafuta wadhamini kwa utaratibu upi?
Wiz tuYaani anagombea na hajui endorsement zinatafutwaje?Unapochukua fomu unajaza wadhamini waliokudhamini katika nafasi tajwa.
Hii Paskali aliniambia inaitwa election flaud, sasa hapa Takukuru inabidi wawaangalie hawa watoa endorsement ni watu wa tabia zipi na huyo mgombea aliye chukua endorsement kwanini kachukua zote Badala ya 5 anscShija Richard ambae ni mtia nia ya Kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka nchini TFF, amesema amerudisha fomu yake ya Urais wa TFF bila ya kupata Endorsement hata moja.
Richard Shija ambae aliwahi kuja mjumbe wa kamati ya Utendaji Yanga SC amesema wakati anapambana kupata Endorsement alikuta Endorsement 46 kati ya 47 zimeshachukuliwa.
Hivyo Shija Richard amesema atamshitaki kwenye kamati ya maadili, Rais wa TFF Wallace Karia lakini pia atamshitaki Rais Karia kwenye kamati ya rufaa.
Shija Richard amesema Rais wa TFF Wallace Karia amefanya makosa ya kimaadili kwa kuchukua Endorsement zote.
mkuu hao kina mayay kukosa wadhamini ni kama vile wamefanyiwa hujuma tu za makusudi ili wakose vigezo vya kugombea..endorsement yaani wadhamini wapo 47 na masharti kwenye fomu ni lazima kila mgombea apate endorsement zisizopungua 5..na kila endorsenent moja ni kwa mgombea mmoja tu haitakiwi kujirudia kwa mgombea mwingine..kilichotokea sas endorsement zoote 47 na hivyo endorsement 46 zimesaini kwa Karia..hivyo wagombea wengine wamekosa wa kuwadhamini hivyo wanahisi labda karia kawahonga rushwa na wadhamini wote wakamsainia yeye peke yake wakati kanuni imeomba angalau wa 5 tu wanatosha ila Karia kafanya kuwakomoa wenzie kuwasainisha kwake wote hivyo wagombea wengine watakuwa nje ya vigezo kwa kutotimiza masharti hivyo wanaweza kuenguliwa na Karia kupita bila kupingwa...kama kanuni iliweka endorsement zisipungue 5 kwa kila mgombea basi pia ingeweka na ukomo wa maximum limit endorsement labda 10 ili na wagombea wengine nao wapate wa kuwadhamini badala kanuni haijaweka ukomo pia imeweka kizingiti eti mdhamini ukimsainia ngombea mmoja hurusiwi tena kumsania mgombea wa pili..kama karia kawasainisha wote kwake hivyo wenzake wanakosa sifa za kugombea kwahiyo wanasubiri huruma tu kwa kamati ya uchaguzi kama wataona aibu kumpitisha karia bila kupingwa.!Yaani anagombea na hajui endorsement zinatafutwaje?Unapochukua fomu unajaza wadhamini waliokudhamini katika nafasi tajwa.
Yaani kukosa endorsement kwa wagombea iwe ni tatizo la Karia?Kama huwezi hata kupata endorsement hata 1 utawashawishi vipi wajumbe wa Mkutano Mkuu wakuchague?Mkutano Mkuu ndio uliokubali kanuni za Uchaguzi na wajumbe wakapitisha.Sasa kama waliompa endorsement Karia wameridhika kumpa na kanuni zinaruhusu tatizo ni nini?mkuu hao kina mayay kukosa wadhamini ni kama vile wamefanyiwa hujuma tu za makusudi ili wakose vigezo vya kugombea..endorsement yaani wadhamini wapo 47 na masharti kwenye fomu ni lazima kila mgombea apate endorsement zisizopungua 5..na kila endorsenent moja ni kwa mgombea mmoja tu haitakiwi kujirudia kwa mgombea mwingine..kilichotokea sas endorsement zoote 47 na hivyo endorsement 46 zimesaini kwa Karia..hivyo wagombea wengine wamekosa wa kuwadhamini hivyo wanahisi labda karia kawahonga rushwa na wadhamini wote wakamsainia yeye peke yake wakati kanuni imeomba angalau wa 5 tu wanatosha ila Karia kafanya kuwakomoa wenzie kuwasainisha kwake wote hivyo wagombea wengine watakuwa nje ya vigezo kwa kutotimiza masharti hivyo wanaweza kuenguliwa na Karia kupita bila kupingwa...kama kanuni iliweka endorsement zisipungue 5 kwa kila mgombea basi pia ingeweka na ukomo wa maximum limit endorsement labda 10 ili na wagombea wengine nao wapate wa kuwadhamini badala kanuni haijaweka ukomo pia imeweka kizingiti eti mdhamini ukimsainia ngombea mmoja hurusiwi tena kumsania mgombea wa pili..kama karia kawasainisha wote kwake hivyo wenzake wanakosa sifa za kugombea kwahiyo wanasubiri huruma tu kwa kamati ya uchaguzi kama wataona aibu kumpitisha karia bila kupingwa.!
Unatakiwa uwe na endorsement zisisopungua 5.Kanuni haisemi zisizidi 5.Hakuna kosa kuwa na endorsement 40 au 46.Hii Paskali aliniambia inaitwa election flaud, sasa hapa Takukuru inabidi wawaangalie hawa watoa endorsement ni watu wa tabia zipi na huyo mgombea aliye chukua endorsement kwanini kachukua zote Badala ya 5 ansc