Shikamoo biashara

Big point[emoji419]
 
Usiogope, unaweza kuanguka hata mara Kumi na ukasimama tena mambo yakanyooka... Ila nyieπŸ™ŒπŸ™Œ
Kuanguka mara nyingi sana sio ushujaa. Motivational speakers huwa wanajiropokea tu. Ukianguka zaidi ya mara 3 unatakiwa ujiulize una matatizo gani. Ukigundua tatizo lililopo ndani yako ndo utaepuka kuanguka hovyo.
 
Mimi tayari mwaka jana kuna ndugu yangu kwa dhati aliniomba msamaha baada ya kunirushia maneno ya hovyo kwasababu ya kumjibu kuwa bado sijalipwa madeni ninayodai kwenye kazi nilizopewa kama tenda. Alikuwa anaona ninamdanganya.
 
Hakika

Ukiwa na muoga unaikimbia biashara
 
Braza umeongea point kubwa mno
 
Brazaaa Kuna wkt nakaa ofc kwangu natamani nikatafute Kaz serekaliNi lkn Kuna wakt napiga maokoto Wala sitamani Tena mamb ya utumishi Ila Sasa ...

ikiwa doro mmh naanza kuwaza kuapply Kaz kampuni au taasis yoyote ile hofu inanijaa Sanaa
Hiko kimuhe muhe itafika hatua kitapotea completelly πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Brazaaa Kuna wkt nakaa ofc kwangu natamani nikatafute Kaz serekaliNi lkn Kuna wakt napiga maokoto Wala sitamani Tena mamb ya utumishi Ila Sasa ...

ikiwa doro mmh naanza kuwaza kuapply Kaz kampuni au taasis yoyote ile hofu inanijaa Sanaa
Kuna wakati nilikiwa natafuta kazi kwenye zile centre za Tuition nifundishe Chemistry na Maths ila hata nikipewa chance malipo duni. Ilikuwa sio poa aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…