Shikamoo biashara

Shikamoo biashara

Yeah..ukiweza kuvumilia mwanzoni ni hatua muhimu ya kuizoea biashara (sio kufanikiwa).
Ukifika hii hatua unakua huogopi hasara, huogopi kupoteza wateja, huogop competition n.k .mindset yako unakua free kiasi kwamba the fear of failure becomes not an issue any more. Hapa unakua tayar kukabiliana na challenge yoyote huku akil yako iki focus katika ku grow zaid, nifanye nini kupiga hatua.
Muhim sana hii stage

Big point[emoji419]
 
Usiogope, unaweza kuanguka hata mara Kumi na ukasimama tena mambo yakanyooka... Ila nyie🙌🙌
Kuanguka mara nyingi sana sio ushujaa. Motivational speakers huwa wanajiropokea tu. Ukianguka zaidi ya mara 3 unatakiwa ujiulize una matatizo gani. Ukigundua tatizo lililopo ndani yako ndo utaepuka kuanguka hovyo.
 
Huwa nawashangaa watu ambao sio wafanyabiashara na wanalia eti maisha magumu. Zaman nlikuaga nashangaa ndg yangu mmoja ana duka kubwa sana ila ukimuomba hata buku anasema hana, nikadhan ana roho mbaya. Miaka hii najionea mwenyewe, hadi nataman nikamuombe msamaha
Mimi tayari mwaka jana kuna ndugu yangu kwa dhati aliniomba msamaha baada ya kunirushia maneno ya hovyo kwasababu ya kumjibu kuwa bado sijalipwa madeni ninayodai kwenye kazi nilizopewa kama tenda. Alikuwa anaona ninamdanganya.
 
Biashara ni nyoko. Kila ambapo nilikua nakaribia kukata tamaa, ni kama Mungu alikua ananiletea a guardian angel to encourage me..huwa siamin kama am surviving years now.

Ukiwa na roho ndogo biashara inakutoa mchezon sekunde tu.
UKiona mtu kwel ame maintain kwenye biznes, kwakwel cha kwanza mpe heshima tu mengine muulize taratibu akupe maelezo
Hakika

Ukiwa na muoga unaikimbia biashara
 
Yeah..ukiweza kuvumilia mwanzoni ni hatua muhimu ya kuizoea biashara (sio kufanikiwa).
Ukifika hii hatua unakua huogopi hasara, huogopi kupoteza wateja, huogop competition n.k .mindset yako unakua free kiasi kwamba the fear of failure becomes not an issue any more. Hapa unakua tayar kukabiliana na challenge yoyote huku akil yako iki focus katika ku grow zaid, nifanye nini kupiga hatua.
Muhim sana hii stage
Braza umeongea point kubwa mno
 
Brazaaa Kuna wkt nakaa ofc kwangu natamani nikatafute Kaz serekaliNi lkn Kuna wakt napiga maokoto Wala sitamani Tena mamb ya utumishi Ila Sasa ...

ikiwa doro mmh naanza kuwaza kuapply Kaz kampuni au taasis yoyote ile hofu inanijaa Sanaa
Hiko kimuhe muhe itafika hatua kitapotea completelly 😂😂😂
 
Brazaaa Kuna wkt nakaa ofc kwangu natamani nikatafute Kaz serekaliNi lkn Kuna wakt napiga maokoto Wala sitamani Tena mamb ya utumishi Ila Sasa ...

ikiwa doro mmh naanza kuwaza kuapply Kaz kampuni au taasis yoyote ile hofu inanijaa Sanaa
Kuna wakati nilikiwa natafuta kazi kwenye zile centre za Tuition nifundishe Chemistry na Maths ila hata nikipewa chance malipo duni. Ilikuwa sio poa aisee.
 
Back
Top Bottom