Shikamoo biashara

Shikamoo biashara

Hapo kama Umeajiriii watesiii na huna uzoefuuu subirii upukutishweeee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani biashara kama huna muda binafsi wa kuifatilia kwa karibu na huna experience nayo mwaka wa kwanza ni wa kujifunza kubali hasaraa
 
Wakuu
Wale mliofanikiwa kuanzisha biashara zenu na zimedumu mpaka sasa SHIKAMOONI WAKUBWA. Hili game sio la kitoto for beginners.
Kabla ya kufungua biashara fanya research kwanza.
1) idadi ya watu hilo eneo
2) kipato chao
3)mahtaji yao
4) na location unayofungua hilo duka. Yaan panafikikaje na mteja.
Majibu yote yakiwa yes yes fungua kaz.
Huwez nguo ya elfu 40 ukaenda kuifungulia duka mbagala halafu ukalaumu hakuna biashara chief.
 
Mkuu million mia tatu kweny biashara au madini ? Maana huko ndo unaweka ela inapotea tu
Biashara mchanganyiko zaidi ya 16 kwa miaka 15.
Jumla kuu Hadi Sasa.
Mapato ya pesa ni rushwa,Dili,Asante,tips , customer care,na mikopo zote hola.
Kama ni apartment ningkuwa na vyuma 100 kiliniponza dreams za kutoboa mapema.
Nikaambulia elimu.
So hio 300 hasara ndo ada ya elimu niliyoipata juu ya biashara,naendelea kupambana sijakata tamaa.
 
Pole mkuu ila kuna mahali unakosea.
 
Back
Top Bottom