Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Jiongeze mkuu nenda karogeWakuu
Wale mliofanikiwa kuanzisha biashara zenu na zimedumu mpaka sasa SHIKAMOONI WAKUBWA. Hili game sio la kitoto for beginners.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiongeze mkuu nenda karogeWakuu
Wale mliofanikiwa kuanzisha biashara zenu na zimedumu mpaka sasa SHIKAMOONI WAKUBWA. Hili game sio la kitoto for beginners.
Sawa..Kuanguka mara nyingi sana sio ushujaa. Motivational speakers huwa wanajiropokea tu. Ukianguka zaidi ya mara 3 unatakiwa ujiulize una matatizo gani. Ukigundua tatizo lililopo ndani yako ndo utaepuka kuanguka hovyo.
Kabla ya kufungua biashara fanya research kwanza.Wakuu
Wale mliofanikiwa kuanzisha biashara zenu na zimedumu mpaka sasa SHIKAMOONI WAKUBWA. Hili game sio la kitoto for beginners.
Unadeal na bidhaa gani?Aiseee Ni balaah leo nimeuza 140k Kuna siku had nauza 40
Ukikopa mkopo benki wa miaka 2, Ili uje unyanyuke tena kwa hiyo kauli yako maana yake utanyanyuka ukiwa na 20years na umekuwa mufilisi hakuna benki inayotaka ikuine karibu yaoUsiogope, unaweza kuanguka hata mara Kumi na ukasimama tena mambo yakanyooka... Ila nyie[emoji119][emoji119]
Na kwanini ukope kuanzisha biasharaUkikopa mkopo benki wa miaka 2, Ili uje unyanyuke tena kwa hiyo kauli yako maana yake utanyanyuka ukiwa na 20years na umekuwa mufilisi hakuna benki inayotaka ikuine karibu yao
Na hasa ukianza biashara umri umekwenda.
2024 niliweka malengo ya biashara.. aisee nimepigwa na fataki
Usiogope, unaweza kuanguka hata mara Kumi na ukasimama tena mambo yakanyooka... Ila nyie[emoji119][emoji119]
Ukiwa lelemama una surrender mara ya kwanza tu ukianguka... Lakini ukiwa mstahimilvu utanyanyuka Tena na Tena na mambo yakasonga..., Ningeweka mfano wangu hapa Ila wacha nimalize kwanza kuugulia maumivu🥲😂Unaanguka Mwisho Unateleza Mpaka Maka.
Wafanyabiashara Kongore Kwao.
Mkuu million mia tatu kweny biashara au madini ? Maana huko ndo unaweka ela inapotea tuMimi Hadi Sasa nimechoma zaidi ya milioni mia tatu na sijatoboa hapa hata buku Sina.
Bora ningeziwekezea kwenye zipu.
Biashara mchanganyiko zaidi ya 16 kwa miaka 15.Mkuu million mia tatu kweny biashara au madini ? Maana huko ndo unaweka ela inapotea tu
Poa Kwanza Huko Mbele Usisite Ku-inspire Wengine Wajivunze.😂Ukiwa lelemama una surrender mara ya kwanza tu ukianguka... Lakini ukiwa mstahimilvu utanyanyuka Tena na Tena na mambo yakasonga..., Ningeweka mfano wangu hapa Ila wacha nimalize kwanza kuugulia maumivu🥲😂
Pole mkuu ila kuna mahali unakosea.Biashara mchanganyiko zaidi ya 16 kwa miaka 15.
Jumla kuu Hadi Sasa.
Mapato ya pesa ni rushwa,Dili,Asante,tips , customer care,na mikopo zote hola.
Kama ni apartment ningkuwa na vyuma 100 kiliniponza dreams za kutoboa mapema.
Nikaambulia elimu.
So hio 300 hasara ndo ada ya elimu niliyoipata juu ya biashara,naendelea kupambana sijakata tamaa.