Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SHETANI WA bongo movie
vipi naona umeamua kuwa mkweli sasa au unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa..?😱Hahaha
Siipendi bongo muvi ila hii umechomekea mkuu, ha ha ha haaaaaaaaaMi nliona jini anakodi bodaboda ili kumfukuzia mtu...
Teh the tehha ha! nyengine nilisikia et mtu kashika bunduki halafu anamwambia mwenzake ntakuchinja!!😀
UWIha ha! nyengine nilisikia et mtu kashika bunduki halafu anamwambia mwenzake ntakuchinja!!😀
Hahahahaaaa mkuu hujaangalia bongo movie vizuri. Hebu nambie ulishawahi kumwona gate man asiyekuwa chizi kwenye bongo movie??Siipendi bongo muvi ila hii umechomekea mkuu, ha ha ha haaaaaaaaa
[emoji3] [emoji3]Vipi hii app ya kuisoma namba au imekushinda.!?
Kwani nlikudanganya kitu gnvipi naona umeamua kuwa mkweli sasa au unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa..?😱
ile avatar yako uloitoa kabla ule mnyororo haujakatikaKwani nlikudanganya kitu gn
Muvi za bongo zinaandaliwa wiki 1 mkuu, kuna siku jb alikua anahojiwa akasema ametumia siku 5 tu kuaandaa muviMuongo huyu ,, Muziki ya Darasa ina muda gani tangu itoke?
Muda huo unatosha kuandaa movie mpaka kuingia sokoni?
Ha ha ha haaaaaaaaaaBongo muvie noma,kuna moja anakumbuka miaka miaka 10 nyuma,lakini pembeni yake kuna gazeti limeandikwa " Magufuli aendeleza utumbuaji wa majipu"
Movie za kibongo hata wakikaa bar wanachukua simu wanatoa kituMuongo huyu ,, Muziki ya Darasa ina muda gani tangu itoke?
Muda huo unatosha kuandaa movie mpaka kuingia sokoni?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ha ha! nyengine nilisikia et mtu kashika bunduki halafu anamwambia mwenzake ntakuchinja!!😀
Ka wiki hii wewe umenichekesha kulik wote ha ha ha haha ha! nyengine nilisikia et mtu kashika bunduki halafu anamwambia mwenzake ntakuchinja!!😀
Hahahaaaa nimecheka kwa sauti wallah[emoji2] [emoji2] [emoji2]Bongo muvie noma,kuna moja anakumbuka miaka miaka 10 nyuma,lakini pembeni yake kuna gazeti limeandikwa " Magufuli aendeleza utumbuaji wa majipu"