Shikamoo bongo movie

Shikamoo bongo movie

Bongo muvi jini anavuka barabara anaangaria kushoto na kuria ili gari isimgonge bongo mavi oyeeeeeeee
 
kaka acha hiyo, niliona moja wameigiza kama mateso ya Yesu, cha ajabu jamaa kabeba msalaba mara boda boda inapita, nilichoka aisee, manake miaka ya Yesu boda boda zilikuwepo
Uuuwiii jamani acheni izoo bana mbavu zauma ukuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hahaha bongo muv bwanaa [emoji13] [emoji13] [emoji13] eti kuna muvi wanaigiza enzi za ukoloni ...lakin hao wakoloni wana iPhone six na magari aina ya vogue [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi niliona moja ya Christmas, wanaigiza kuzaliwa kwa Yesu. Bikira Maria akamwambia Joseph "nina mimba", Joseph akashtuka "Yesu wangu, utaniambia ya nani".
Shikamoo bongo muvi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mtu anatoka na mfuko wa RAMBO mkoani anakuja kutafuta maisha Dar anarudi kusalimia kwao akiwa milionea..
Kwa usawa huu wa awamu ya tano
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi niliona moja ya Christmas, wanaigiza kuzaliwa kwa Yesu. Bikira Maria akamwambia Joseph "nina mimba", Joseph akashtuka "Yesu wangu, utaniambia ya nani".
Shikamoo bongo muvi
Nimecheka,akasema Yesu wangu,yaani bongo movie bado kazi ipo
 
Back
Top Bottom