buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,678
- 11,357
Nimecheza game ya dream league sina upinzani naomba mwenye kujua game kali zaidi aniambie
aaah mkuu umefika elite division au ni academy division
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheza game ya dream league sina upinzani naomba mwenye kujua game kali zaidi aniambie
Na miwani meusiJambaz lazima liwe na koti reefu na jua lote hili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahaha muvi gani iyoo mzee haha ilitisha io muviiMi nliona jini anakodi bodaboda ili kumfukuzia mtu...
Hahahaha hata siikumbuki mkuu... Niliifumania tu Azam TV, nikabadili channel fasta...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahaha muvi gani iyoo mzee haha ilitisha io muvii
SHETANI WA bongo movie
Uuuwiii jamani acheni izoo bana mbavu zauma ukuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]kaka acha hiyo, niliona moja wameigiza kama mateso ya Yesu, cha ajabu jamaa kabeba msalaba mara boda boda inapita, nilichoka aisee, manake miaka ya Yesu boda boda zilikuwepo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Hahahaha hata siikumbuki mkuu... Niliifumania tu Azam TV, nikabadili channel fasta...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi niliona moja ya Christmas, wanaigiza kuzaliwa kwa Yesu. Bikira Maria akamwambia Joseph "nina mimba", Joseph akashtuka "Yesu wangu, utaniambia ya nani".
Shikamoo bongo muvi
Ha ha ha ulikua unapoteza muda kwako tu.*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
hahahahaha....Movie gani mkuu?
Wanajua wako kwenye kampeni bado, hawajaalikwa kwenye udiwani?Akili ni nywele
Bongo muvi yote ni mimavi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
HahahaYa Kanumba
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mtu anatoka na mfuko wa RAMBO mkoani anakuja kutafuta maisha Dar anarudi kusalimia kwao akiwa milionea..
Kwa usawa huu wa awamu ya tano
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nimecheka,akasema Yesu wangu,yaani bongo movie bado kazi ipoMimi niliona moja ya Christmas, wanaigiza kuzaliwa kwa Yesu. Bikira Maria akamwambia Joseph "nina mimba", Joseph akashtuka "Yesu wangu, utaniambia ya nani".
Shikamoo bongo muvi
Hii hii unayotembea nayo kila mahala na kulala nayo ikiwa TUMBONI mwako au mingine?Akili ni nywele
Bongo muvi yote ni mimavi