Shikamoo bongo movie

Shikamoo bongo movie

Bongo muvie noma,kuna moja anakumbuka miaka miaka 10 nyuma,lakini pembeni yake kuna gazeti limeandikwa " Magufuli aendeleza utumbuaji wa majipu"
[emoji3] [emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji3] hiyo kali mkuu.
 
Na kuwaza miaka kumi iliyopita,ndani ya ofisi kuna picha JPM...na movie toleo la mwaka 2016..[emoji15] [emoji15] ..

mke mwenye roho mbaya kumuwekea sumu mumewe kisha anaonja...[emoji87] [emoji87] .

jambazi anavamia jumba la kifahari kwa nia ya kufanya uhalifu anavua viatu mlangoni...[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ......

labda nikiwa gerezani ndio nitakaa kuangalia bongo movie...[emoji57] [emoji57] .....
 
Mi nilisha acha kuangalia hizo movie kitambo ingawa bado naikumbuka movie ya zamani kidogo GIRL FRIEND yumo Tid, monalisa, gk na wengine
 
*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]... Wapo vizuri Sanaa
 
*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
Ha ha haaaa sasa we subiri muda c mrefu utamuona jambazi anabisha hodi afu anavua viatu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mpaka nafika page ya nne hakuna jina la hiyo movie.
 
Back
Top Bottom