Shikamoo bongo movie

Muongo huyu ,, Muziki ya Darasa ina muda gani tangu itoke?
Muda huo unatosha kuandaa movie mpaka kuingia sokoni?
 
Siamini kama kuna hiyo movie, kama vipi atutajie hiyo movie inaitwaje..
 
Muongo huyu ,, Muziki ya Darasa ina muda gani tangu itoke?
Muda huo unatosha kuandaa movie mpaka kuingia sokoni?
Muvi za bongo zinaandaliwa wiki 1 mkuu, kuna siku jb alikua anahojiwa akasema ametumia siku 5 tu kuaandaa muvi
 
Bongo muvie noma,kuna moja anakumbuka miaka miaka 10 nyuma,lakini pembeni yake kuna gazeti limeandikwa " Magufuli aendeleza utumbuaji wa majipu"
 
ha ha! nyengine nilisikia et mtu kashika bunduki halafu anamwambia mwenzake ntakuchinja!!πŸ˜€
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bongo muvie noma,kuna moja anakumbuka miaka miaka 10 nyuma,lakini pembeni yake kuna gazeti limeandikwa " Magufuli aendeleza utumbuaji wa majipu"
Hahahaaaa nimecheka kwa sauti wallah[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…