Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
- Thread starter
-
- #61
HahahaBongo muvie noma,kuna moja anakumbuka miaka miaka 10 nyuma,lakini pembeni yake kuna gazeti limeandikwa " Magufuli aendeleza utumbuaji wa majipu"
[emoji3] [emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji3] hiyo kali mkuu.Bongo muvie noma,kuna moja anakumbuka miaka miaka 10 nyuma,lakini pembeni yake kuna gazeti limeandikwa " Magufuli aendeleza utumbuaji wa majipu"
Hehehe kwani ina nn jmnile avatar yako uloitoa kabla ule mnyororo haujakatika
namaanisha hivi wkt ule mnyororo haujakatika ulikuwa unafanya yale au ni danganya toto tu..?Hehehe kwani ina nn jmn
Na wewe una mda mpk unaangalia bongo movie dah*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
Hehehe mnyonyoro au mnyororonamaanisha hivi wkt ule mnyororo haujakatika ulikuwa unafanya yale au ni danganya toto tu..?
mnyororoHehehe mnyonyoro au mnyororo
Kwanza mbona umensusaa sana ivi?mnyororo
natafuta hela tuje tule bata au unasemaje..?Kwanza mbona umensusaa sana ivi?
Ilikuwa kupoteza muda tuNa wewe una mda mpk unaangalia bongo movie dah
Mkuu hili ni jukwaa la utani...Muongo huyu ,, Muziki ya Darasa ina muda gani tangu itoke?
Muda huo unatosha kuandaa movie mpaka kuingia sokoni?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]... Wapo vizuri Sanaa*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
Kila sku hupumzikinatafuta hela tuje tule bata au unasemaje..?
kwani nyie huwa mnapumzika kuomba hela..?Kila sku hupumziki
Ha ha haaaa sasa we subiri muda c mrefu utamuona jambazi anabisha hodi afu anavua viatu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Shikamoo bongo movie... Naangalia movie yao hapa et mtu anakumbuka miaka 10 nyuma yupo disco alaf anacheza maisha na muziki ya darassa dah washanialibia cku...*
Bongo muv hata two weeksMuongo huyu ,, Muziki ya Darasa ina muda gani tangu itoke?
Muda huo unatosha kuandaa movie mpaka kuingia sokoni?