Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Sikiliza ukiwa na jbl utakuja nishukuruMayday niliisikiliza kwenye oraimo kuanzia Korogwe mpk Morogoro nikiwa kwenye Bm, Fally ni noma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikiliza ukiwa na jbl utakuja nishukuruMayday niliisikiliza kwenye oraimo kuanzia Korogwe mpk Morogoro nikiwa kwenye Bm, Fally ni noma sana
Kwenye kipengele cha Rhumba kwa maoni yangu binafsi naenda na Ferre Gola le padre,
Fally ni wa moto tena moto kweli kweli, Mayday unaweza kusikiliza 24/7 bila kuchoka ila Ferre is clear kwa masikio yangu.
Ni kama battle ya Messi(Ferre) na Ronaldo(Fally).
Umefanya hadi niirudie hapa playlist
Same here....yaan najikuta kila siku nikiwa na hamu na rhumba...naanza Mayday...haiishi hamuNi 🔥🔥.. Sijui kwanini sijawahi kumchoka, Mayday naweza nikairudia hata kutwa nzima Katkit
Adam Bombole anatajwa sana na Jibe Mpianna, Hebu sikiliza Dude jipya la JB Mpianna Zebuka nina hakika kaimbwa humoVipi mbona siku hizi hawa Mapeshee hawaimbwi kwenye midungo ya Congoleee tena
-Pedeshee Dariol Mulongo
-Josee Kongolo
-Adam Bombole
-Fabrice Wasepe
-Patricke Bolonya
Au hawatoi mpunga wa kutosha?
Mkuu Public Enemy hakika JB Mpiana aliitendea haki ngoma hii 48 Heures gecoco- JB MpiannaFally anajua Bwana
Mayday ni Ringtone yangu...
Halafu Kuna Hii Humanisme naielewa sana..... Natafuta kujua Ina maana gani ila ni wimbo mmoja mzuri sana wa Bwana Fally.
Playlist yangu isiyo Rasmi ya leo ilikua
Feux De L'Amour-J.B Mpianna
48 Heures gecoco- JB Mpianna
Mayday- Fally
Humanisme-Fally
Anna-FM Academia
Zebuka - JB Mpianna