Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Hawa Iran washenzi sana aisee!

Waliwekewa vikwazo na Marekani ktk uuzaji wa mafuta, na wametakiwa wasimuuzie mafuta Venezuela.

Haitoshi wakapigwa mkwara na Trump, lakini kwa kuwa walishamjulia Trump kuwa huelewa lugha moja tu, ile ya Iraq (kutwangwa makombora ya balistiki), walimuahidi akitia pua kwenye mzigo wake (Iran) unaoenda Venezuela, watamzungumzisha lugha ile pendwa.

Dah, eti mzigo wa kwanza wa mafuta umewasili Venezuela salama kabisa.
=====





 
@Njagomire anae sababisha scarcity ya mafuta namadhila yote yanayoikimba VENEZUELA kwasasa sio muarabu wala Muislam Ni US na anaeenda kuokoa jahazi sio RUSSIA wala Mzungu Ni MUAJEMI nani MUISLAM.

Sent using My COVID-19
Idd mubaraka TIP TIP.
 
Tukiwa tunasema US nijoka lakibisa watu hua hawaelewi [emoji23][emoji23][emoji23]

PAPER TIGER [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23]

@MK254View attachment 1458676

Sent using My COVID-19
Trump kaniangusha sana aisee...Nilikuwa nikisubiria ajilengeshe wamiminiwe mvua za makombora ya balistiki.
 
Wana jeshi wa Venezuela nao walienda kuzipokea meli za iran yani apo ilikuwa sio mkwara nilikuwa Nina subiria kweli maana Iran walisema kama vip usa wamuulize UK kuhusu utekaji wao wameli!!!
Nadhani ile meli ya uk ilitekwa sio kibabe tu bali technology ilihusika!
 
US PAPER TIGER ....

Sent using My COVID-19
 
Tangu Iran Alipo lipua vikambi vyao huko iraq siku hizi Trump Alisha kuwa na heshima hata mipasho yake ya dharau dhidi ya Iran imeisha huko tweete siku hizi ni furu heshima.
Yani Iran yupo kwenye position ambayo ukimchokoza majini lazima adake meli yako tu!
Alafu huwa wana pandwaga na mzuka hawadaki moja!
 
Hamna neno linamkera Trump Kama hilo mzigo wa kwanza umefika salama
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli US ni noma, Venezuela anayeongoza kwa oil reserves sasa anaimport mafuta, inasikitisha sana. Atakayefanya biashara na Iran hashambuliwa kijesha bali atakosa fursa ya kufanya biashara na US, Sasa Venezuela tayari anavikwazo vya US tayari, kwa hiyo hana cha kupoteza.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
kwanzatrampu yuko busy na corona &na uchaguzi...kumbukeni tangia atoe order ya ku shoot vileviboti vya iran zitakazo ikaribia submarine za kimarekani ...havijatia puaa....!!tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hata hv si alisema vikielekea IRA atavidaka [emoji23][emoji23][emoji23]

Hatawakati ule mlisingizia kama anauchaguzi mwakani[emoji23][emoji23][emoji23]

Pro US mnatafta kilanjia yakutoke ila mmebakwa kila kona

Sent using My COVID-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…