Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Mbna umeongea kwaunyonge sana MKUU[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using My COVID-19
US PAPER TIGER[emoji23][emoji3][emoji16][emoji4][emoji2]Ama kweli US ni noma, Venezuela anayeongoza kwa oil reserves sasa anaimport mafuta, inasikitisha sana. Atakayefanya biashara na Iran hashambuliwa kijesha bali atakosa fursa ya kufanya biashara na US, Sasa Venezuela tayari anavikwazo vya US tayari, kwa hiyo hana cha kupoteza.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Sent using My COVID-19