Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Mbna umeongea kwaunyonge sana MKUU[emoji23][emoji23][emoji23]
Ama kweli US ni noma, Venezuela anayeongoza kwa oil reserves sasa anaimport mafuta, inasikitisha sana. Atakayefanya biashara na Iran hashambuliwa kijesha bali atakosa fursa ya kufanya biashara na US, Sasa Venezuela tayari anavikwazo vya US tayari, kwa hiyo hana cha kupoteza.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
US PAPER TIGER[emoji23][emoji3][emoji16][emoji4][emoji2]
FB_IMG_15903386373544597.jpg

Sent using My COVID-19
 
Kinachoendelea sijakielewa, kwani nijuavyo Venezuela ni wazalishaji wakubwa wa mafuta, wanazalisha mafuta zaidi ya mapipa million moja kqa siku.
Hayawatoshi au kunani?
Mfumo wa kusafishia mafuta Venezuela haufanyikazi. Iran ndo amepeleka mafuta yaliyosafishwa na wataalamu wa kufufua mitambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja hujaiona mleta mada aloileta ?!

Kuhusiana na CCM CHADEMA sijui Nani Mtajuana wenyewe huko mimi hayanihusu

Sent using My COVID-19
Nami nimejibu hoja ya mleta mada, nawe kama ulikuwa una hoja kuunga mkono au kupinga hoja yangu ungeileta, lakin matokeo yake umeleta taarab za isha mashauzi. Kama una hoja leta basi tuendelee, nakusubiri...

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Hahahahaha

Tena Trump ana bahati sana ingekuwa hiki kipindi cha Rais Nejad sijui ingekuwaje...?

Maana akili zao hazitofautiani kabisa...
Wana jeshi wa Venezuela nao walienda kuzipokea meli za iran yani apo ilikuwa sio mkwara nilikuwa Nina subiria kweli maana Iran walisema kama vip usa wamuulize UK kuhusu utekaji wao wameli!!!
Nadhani ile meli ya uk ilitekwa sio kibabe tu bali technology ilihusika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran wanapoahidi kitu, lazima watekeleze. Sio kama Marekani na mikwara yake.

Yaani ikitokea hitajio la kubeti kati ya pande mbili US na Iran, pesa yangu nitaitia kwa Iran...hawawezi kuniangusha...lazima niondoke na ushindi.
 
Hahahahaha

Tena Trump ana bahati sana ingekuwa hiki kipindi cha Rais Nejad sijui ingekuwaje...?

Maana akili zao hazitofautiani kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na kusema kipindi hiki kingekuwa cha Urais wa Dwight D. Eisenhower. Hahaha!

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Nami nimejibu hoja ya mleta mada, nawe kama ulikuwa una hoja kuunga mkono au kupinga hoja yangu ungeileta, lakin matokeo yake umeleta taarab za isha mashauzi. Kama una hoja leta basi tuendelee, nakusubiri...

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Hoja nikwamba Meli Yamafuta Ishafika VENEZUELA Ikumbukwe kwamba meli imetokea Ghuba Ya AJEMI ambayo wale waimba taarab walisema wataikamata wakati inapita hawakuiona ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu, labda hawakuiona hiyo ya kwanza. Ngoja tusubiri zingine nne zipo njiani. Halafu Iran hadi Venezuela kwa meli mbali kweli.

Hawa Iran kwa kujiamini walituma meli zote 5. Wangekuwa hawajiamini wangetest kwanza upepo wa Trump kwa kutuma meli moja ili hata kama ikikamatwa wasiwe na hasara kubwa.
 
Pro US wanasema US wana deal na koronya kwanza [emoji23][emoji23]

Ukiwauliza wakati US wanasema kwamba meli za IRAN hazitaruhusiwa kuelekea VENEZUELA koronya ilikua haipo wanakimbia[emoji4][emoji3][emoji16][emoji23][emoji2]

Sent using My COVID-19
 
Hoja nikwamba Meli Yamafuta Ishafika VENEZUELA Ikumbukwe kwamba meli imetokea Ghuba Ya AJEMI ambayo wale waimba taarab walisema wataikamata wakati inapita hawakuiona ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19
Nishakuambia hapa taarab haina nafasi lakini bado unaendelea nayo tu [emoji38][emoji38][emoji38], ebu Leta ushahidi wa US kusema wataikamata hiyo meli. Nakungoja.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Waliwekewa vikwazo na Marekani ktk uuzaji wa mafuta, na wametakiwa wasimuuzie mafuta Venezuela.
Sasa bila kujali kama mzigo umefika au haujafika, hivi kati ya anayeweka vikwazo na anayewekewa vikwazo, ni nani mwenye ubabe kwa mwenzake? 😛
 
Back
Top Bottom