Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
- Thread starter
- #221
Marekani (Paper Tiger) baada ya kushindwa kusimamia utekelezaji wa vikwazo ilivyoweka dhidi ya Iran na Venezuela kuuziana mafuta huku akiziangalia na kukosa cha kuzifanya meli tano za Irani zilizopeleka shehena za mafuta Venezuela kwa mkupuo, kakimbilia kuweka vikwazo vingine vipya kwa hasira.