Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Unafikiri hao mabeberu wanajali jasho unalolitoa hapa!?
Wewe kwao midhali ni rangi nyeusi wanakuona takatakaView attachment 1460746
Sent using Jamii Forums mobile app
babu na mjukuu Mabeberu wengine hawa hapa, wamemuona Mwangosi nyani wakamgeuza nyama Sasa wanamsaidia beberu mwenzao aliyekuwa amekwaruzika kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]inasikitisha sana asee[emoji22][emoji22][emoji22]
Bwana Utam buana