Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Unafikiri hao mabeberu wanajali jasho unalolitoa hapa!?
Wewe kwao midhali ni rangi nyeusi wanakuona takatakaView attachment 1460746

Sent using Jamii Forums mobile app
inasikitisha sana asee[emoji22][emoji22][emoji22]
babu na mjukuu Mabeberu wengine hawa hapa, wamemuona Mwangosi nyani wakamgeuza nyama Sasa wanamsaidia beberu mwenzao aliyekuwa amekwaruzika kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwana Utam buana
images-66.jpg
 
Sexer anajitoa ufahamu, ila anaelewa vizuri maana ya blockade.

Ila Iran bwana pamoja na kuwa anakumbuka meli yake moja imewahi kukamatwa na UK, lakini kaachia mijimeli mitano na inasafiri umbali mrefu na kazitia bendera zake...🤣🤣 Jamaa anajiamini vibaya mnooo.
Pengine Ile satellite yake aliyo rusha imemuongezea nguvu maana ni ya mambo ya kijeshi!
Usisahau jamaa wana shabaha Sana!
 
Ama kweli US ni noma, Venezuela anayeongoza kwa oil reserves sasa anaimport mafuta, inasikitisha sana. Atakayefanya biashara na Iran hashambuliwa kijesha bali atakosa fursa ya kufanya biashara na US, Sasa Venezuela tayari anavikwazo vya US tayari, kwa hiyo hana cha kupoteza.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM


Wivuu,,,,leo mtu mweusi kauawa kikatili dhidi ya wajomba zako,,,endelea kuwashabikia ipo cku watakuvua chupi ucpobadirika.
 
Wivuu,,,,leo mtu mweusi kauawa kikatili dhidi ya wajomba zako,,,endelea kuwashabikia ipo cku watakuvua chupi ucpobadirika.
Nan alikuambia mtu mweusi huwa hauwawi! Vipi hili tukio ingekuwa mtu mweusi kauwawa na polisi wa kizungu huko US, si ungesema ni kwa sababu ya rangi yake.
images-66.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hicho ulichoandika maana yake ndo Trump kukamata meli za Iran?! Kilichopo ni kufanya biashara na Iran ni kukataa kufanya biashara na Marekani muwe mnaelewa basi! Ebo!. Msilazimishe vitu visivyokuwepo ili tu kufurahisha nyoyo zenu. Ingekuwa Trump katangaza kuzikama au kafanya jaribio la kuzikamata afu akazishindwa hapo tungeongea lugha moja kwa Trump kachemka kukamata hizo meli. Hata Canada leo akiagiza mafuta kutoka Iran hazitakatwa meli bali italeta tu mgogoro katika biashara zake na Marekani na ndo kitu ambacho nchi nyingi hazitaki kitokee, make wanayaona yanayowakumba Venezuela, Yeye Venezuela kafanya kwa kuwa hana Cha kupoteza make tayari anahemea kwenye vikwazo.
Ulitaka azitishie mara ngapi hata Adrian Darya aliitishia pia yye na shost yake UK ila wakabakia kubweka tu kaa umbwa


IRAN kaongea kugha ngumu sana mpaka wenyewe wanashangaa [emoji3][emoji16][emoji23]
 
Hao unawasingizia. Wao hawakufanya hivyo kwasababu ya rangi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema hivyo kwa sababu mweusi kauwawa na mswahili mwenzake, ila ingekuwa huyo mswahili tena muandishi wa habari kageuzwa nyama namna hiyo na askari wa kizungu huko uzunguni, ungeconclude hivyohivyo ni kwa sababu ya rangi yake. Polisi hukamata watu wa rangi zote.
images-67.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulitaka azitishie mara ngapi hata Adrian Darya aliitishia pia yye na shost yake UK ila wakabakia kubweka tu kaa umbwa


IRAN kaongea kugha ngumu sana mpaka wenyewe wanashangaa [emoji3][emoji16][emoji23]
Wakati bongo tunasheherekea kuishinda corona, Iran wanasheherekea meli zao kufika Venezuela [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakati bongo tunasheherekea kuishinda corona, Iran wanasheherekea meli zao kufika Venezuela [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Iran hawasherehekei hilo la meli kufika Venezuela. Wao hawakuwa na shaka yoyote juu ya usalama wa meli zao na ndio maana wakaamua kuziachia zotee tano kwa pamoja.

Wao watakuwa wanasikitika kwa nini hakutokea kidudu mtu akajichanganya ili wampatie dawa stahiki.
 
Wakati bongo tunasheherekea kuishinda corona, Iran wanasheherekea meli zao kufika Venezuela [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wote mnastahili hongera ila AJEMI walijua kuna mpuuzi atajipendekeza ila wapi[emoji3][emoji16][emoji23].....
 
Back
Top Bottom