Mkuu mbona wateseka sana kana kwamba wewe ndiye Trump?
Any way kuna salamu zako hapa zinazosema, meli 5 zote ziliwekewa na kupeperusha bendera za Iran ili kuonesha wazi wazi kuwa zamilikiwa na Iran (aliyewekewa vikwazo) na kuwa US na washirika wake wameandaliwa adhabu takatifu endapo yeyote kati yao atazuia chochote ktk meli hizo.
Taarifa inasema kuwa US na washirika wake woote (UK, France, Germany n.k) wanaelewa fika kuwa yeyote atakayejichanganya ktk kuzuia chochote kwenye meli hizo (hata bendera tu ile inayopepea kwenye meli hizo) basi hatopata fursa ya kufanya tena biashara za kimataifa kwa usalama...(kama huelewi maana ya maneno hayo kamuulize Muingereza alichofanyiwa baada ya kujitia kuzuia meli ya Iran, huyu kamwe hatorejea upuuzi ule).
View attachment 1459037