Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Marekani (Paper Tiger) baada ya kushindwa kusimamia utekelezaji wa vikwazo ilivyoweka dhidi ya Iran na Venezuela kuuziana mafuta huku akiziangalia na kukosa cha kuzifanya meli tano za Irani zilizopeleka shehena za mafuta Venezuela kwa mkupuo, kakimbilia kuweka vikwazo vingine vipya kwa hasira.


 
Wewe sio tu ni kunguru usiye fugika bali ni kunguru usiyefugika na usiye na akili. Na ndio maana unaishia kuandika upuuzi kwenye jukwaa la watu wenye akili zao.

Sasa wewe ufugikae , ni kipi cha akili ulichopost apa ? Kama sio kuja na objection kwa idea za wengine na kujifanya mjuaji nyang’au wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…