souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,098
Mwanaume anapaka shedo.. anatinda nyusi.. Define himKamikaze sio shoga bhana acheni kashfa au kakuzid ndo maana povu linakutokaa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sasa ulitegemea angejisikiaje ilihali unampenda yeyeWanaume wako hivo Mimi kuna siku nilikuwa naangalia movie Fulani ya William levy na mpenzi nikasema huyu mkaka nampendaga nilipigwa Kofi moja hilo sitosahau , yaani sijui wapoje[emoji3] [emoji3]
AnajipendaMwanaume anapaka shedo.. anatinda nyusi.. Define him
Kwani yeye anavowasifia kina Angelina Jolie na kina jlo mbona mm sisemi, Halafu ukiangalia nammsifia mwanaume ambae naishia kumuona kwenye movie tu[emoji3] [emoji3] yaani nyie wanaume mna maajabu sanaSasa ulitegemea angejisikiaje ilihali unampenda yeye
Hahhahahahah jamanii wasijalii na wao waweke picha tuwaone tuwasifieManeno ya mkosajii[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah kweli Dinazarde kawatoa mapovu wengii mm kila nikiona comment ya me siishi kucheka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizo story tu... Alipataga matatizo akawa anatembeza bakuli kama kawaida tuHakuna za urithi tunakulaga tu
Sina mbavu hahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana nimekuta picha yake sehemu[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
View attachment 394525
Mke wa mtu yule mkuu... Nae ni mtu wa media kama mkeweKuna mama wa BBC anaitwa Zuhura Yunus...walai huyu mama sijui kaufanyaje moyo wanguu nitamwanzishia uzi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji9][emoji9][emoji9]
Siyo maadili ya kiume... Kutakuwa na tofauti gani na dada zetu kama tunagombania shedo sasa...Anajipenda
Ni nani mkuuMke wa mtu yule mkuu... Nae ni mtu wa media kama mkewe
Hahhhaha kimoyo moyo tu ndo ingetakiwa.... Hata mimi nisingevumilia ningekukatia tiket ya ndege umfuateKwani yeye anavowasifia kina Angelina Jolie na kina jlo mbona mm sisemi, Halafu ukiangalia nammsifia mwanaume ambae naishia kumuona kwenye movie tu[emoji3] [emoji3] yaani nyie wanaume mna maajabu sana
Hahaaa punguzeni wivu kwa wenzenu walopewa mvuto khaaHahhhaha kimoyo moyo tu ndo ingetakiwa.... Hata mimi nisingevumilia ningekukatia tiket ya ndege umfuate
Am sory sissy namfahamu kuliko unavyomfahamu... Bahat nzur nakaa nae kitaa kimoja hata salun anayoendaga naifaham.. Ni part ya kujipendezesha ila si kimpango sana kwa real man kudo hivyo... [emoji123] [emoji123] [emoji123]Hajatindq nyusi ndio alivyoumbwaaa na hakuna alipopaka shedo
Mume wa zuhura anafanya kazi tv moja ya kenya nadhani ni QTVNi nani mkuu
Hahahha ssa hyo vita... Ukiniona utafuta hyo commentHahaaa punguzeni wivu kwa wenzenu walopewa mvuto khaa
Aseeh..ngoja nitamfuatilia...maana huyu mama amenikonga moyo mkuuMume wa zuhura anafanya kazi tv moja ya kenya nadhani ni QTV
Basi bana lakin naona yuko poa tu,demu wake si kidoaAm sory sissy namfahamu kuliko unavyomfahamu... Bahat nzur nakaa nae kitaa kimoja hata salun anayoendaga naifaham.. Ni part ya kujipendezesha ila si kimpango sana kwa real man kudo hivyo... [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Mie namuelewa sana anaijua kazi yake na ni bonge la presenterAseeh..ngoja nitamfuatilia...maana huyu mama amenikonga moyo mkuu