Shikamoo Kamikaze

Shikamoo Kamikaze

Wanaume wako hivo Mimi kuna siku nilikuwa naangalia movie Fulani ya William levy na mpenzi nikasema huyu mkaka nampendaga nilipigwa Kofi moja hilo sitosahau , yaani sijui wapoje[emoji3] [emoji3]
Sasa ulitegemea angejisikiaje ilihali unampenda yeye
 
Sasa ulitegemea angejisikiaje ilihali unampenda yeye
Kwani yeye anavowasifia kina Angelina Jolie na kina jlo mbona mm sisemi, Halafu ukiangalia nammsifia mwanaume ambae naishia kumuona kwenye movie tu[emoji3] [emoji3] yaani nyie wanaume mna maajabu sana
 
Maneno ya mkosajii[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah kweli Dinazarde kawatoa mapovu wengii mm kila nikiona comment ya me siishi kucheka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahhahahahah jamanii wasijalii na wao waweke picha tuwaone tuwasifie
 
Kuna mama wa BBC anaitwa Zuhura Yunus...walai huyu mama sijui kaufanyaje moyo wanguu nitamwanzishia uzi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji9][emoji9][emoji9]
Mke wa mtu yule mkuu... Nae ni mtu wa media kama mkewe
 
Kwani yeye anavowasifia kina Angelina Jolie na kina jlo mbona mm sisemi, Halafu ukiangalia nammsifia mwanaume ambae naishia kumuona kwenye movie tu[emoji3] [emoji3] yaani nyie wanaume mna maajabu sana
Hahhhaha kimoyo moyo tu ndo ingetakiwa.... Hata mimi nisingevumilia ningekukatia tiket ya ndege umfuate
 
Hajatindq nyusi ndio alivyoumbwaaa na hakuna alipopaka shedo
Am sory sissy namfahamu kuliko unavyomfahamu... Bahat nzur nakaa nae kitaa kimoja hata salun anayoendaga naifaham.. Ni part ya kujipendezesha ila si kimpango sana kwa real man kudo hivyo... [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Basi bana lakin naona yuko poa tu,demu wake si kidoa
 
Back
Top Bottom