[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaaa kamuone daktari maana itakuwa jogoo hawiki[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kamikazeeeMm mwenyw nimejiuliza sana au 4G lite anataka kutukatisha tamaa ya kumpata cyliy[emoji3] [emoji3]
Hahahaaaa ukiskia paaa, Uzi mwingine Kama huuelewi kaa kimya sio lazima uchangie utumbomfa maji haachi kujitapa
[emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kamikazeee
WTF are you talking about? who is mkosaji? kukukosea wewe au nani? thats my opinion and not yours and then you say mm mkosaji. Nimekosa mini?Maneno ya mkosajii[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah kweli Dinazarde kawatoa mapovu wengii mm kila nikiona comment ya me siishi kucheka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji38][emoji38] nafkiri kilichofata ni kufunga bakuli lako..Wanaume wako hivo Mimi kuna siku nilikuwa naangalia movie Fulani ya William levy na mpenzi nikasema huyu mkaka nampendaga nilipigwa Kofi moja hilo sitosahau , yaani sijui wapoje[emoji3] [emoji3]
[emoji106] [emoji106] [emoji106] bina nimetoka kumfollow singida boy,bwana weeee...!!neema za Allah hazijampita..!!
[emoji51] [emoji51] wamenuna balaaa!Umejua kuwagusa wakaka leo [emoji23]
Inaelekea unamkubali Sana jamaa Kama upo hapa mjini kati siku za mwisho wa wiki ukipata nafasi nichek inbox nikuelekeze uje Kijiwe chetu cha wakacha au wakali wa dresscode upate hata picha na jamaa yuko poa sana hii ni kwa mrembo yoyote anayetaka picha na jamaa
Wow, his smile tho[emoji7] [emoji7]
Nakoma kwani kwa huyu kaka[emoji116] [emoji116] [emoji116] nipigwe tu hakuna namna[emoji38][emoji38] nafkiri kilichofata ni kufunga bakuli lako..
Kama jlo alisaliti ndoa...!!Nakoma kwani kwa huyu kaka[emoji116] [emoji116] [emoji116] nipigwe tu hakuna namnaView attachment 394931[emoji14] [emoji14]
Huyu kaka acha kasambaratisha ndoa za watu wengiKam jlo alisaliti ndoa...!!
Heheheh kumbe ulikua hujamfollow khaaa ulichelewa aiseee mi mahandsome wote nimewafollow hadi levy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106] [emoji106] [emoji106] bina nimetoka kumfollow singida boy,bwana weeee...!!neema za Allah hazijampita..!!
Hao wasitupe presha ngoja na sie tuienjoy kwa kweli!
Mi picha ninazo nachotakani ,........... heheheheheheh (natania msijenniuaInaelekea unamkubali Sana jamaa Kama upo hapa mjini kati siku za mwisho wa wiki ukipata nafasi nichek inbox nikuelekeze uje Kijiwe chetu cha wakacha au wakali wa dresscode upate hata picha na jamaa yuko poa sana hii ni kwa mrembo yoyote anayetaka picha na jamaaView attachment 394925