tinkibiruka mhaya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 929
- 794
Itakuwa mkuu maana waliporud tena sebulen walikuwa ka sio waoHaaaha, Huko room huyo mamako mdogo lazima itakuwa alimtuliza kwa shoo moja matata. Maana bila hivyo kinaweza kisieleweke.
Na sisi wanaume tulivyokuwa wadhaifu wa papuchi, ukishapewa papuchi na kushikwashikwa kidevu hasira zote kwishaaa.
Sasa na yeye si akasaidie gsm Kama mwenzake mtoto wa kariakooKuna kipindi alisema hakuna mbongo fleva anaemfikia kwa mawe(pesa),
Sasa kama value for money ipo kwa nini guest isilipiwe? mbona nyie mnalipiaga guest na warembo wenu? Acheni wadada wajipe raha jamani.Kila Mwanamke ana Fantasy yake cha Ajabu kuna wake za watu wataliwa na huyo jamaaa na Hoteli watalipia haha
....loh.,hii maneno si ungemwambia mwenyewe kwenye kijiwe 'chenu' cha Wakacha?...,au ulitaka kutelezea ganda la ndizi?Sasa na yeye si akasaidie gsm Kama mwenzake mtoto wa kariakoo
Mimi je umeshaniona??? ukiniona si utasema ninanyweka bila kumeza.Nimeona mmeleta wasanii wanaovutia ,kwenye listi yooote mliyoweka huyu kaka hakuna anaemfikia hata robo[emoji108][emoji108][emoji108],au mna makengeza mnaweka kin diamond wana midomo ya kumeza chapati sita unatuambia anavutia?watu wana pua kama mme wa shamsa ford useme wanavutia,jux ana mvuto gani kwa mfanooo,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba mumuone huyu kaka aisee popote alipo salute Mungu fundi aisee
Huyu kaka analika aiseee haku a kujiuliza wala kujishauri
Muangalie macho,mdomo,pua paji la uso,kifua cha wastaniii,nywele
uhuuuuuuuuuuuu
View attachment 393706View attachment 393707View attachment 393708View attachment 393709
We kaka uliko huko Mungu anakuona jamani acha kunitesa mie[emoji23][emoji23][emoji23]
halaf una macho kama ya mtu fulani nimemuona kapita
View attachment 393710
Aisee huyu kaka analika bila hata kachumbari
Mimi sura yangu ni mbaya lkn naishi miji minne tofauti New York, Las Vegas, London na Dsm pls don't reject us kwa sababu sura zetu mbaya..... njoo ule bata hao watoto warembo wanaweza waka ku fu.ck wosikupe hata mia!Heheheh kumbe ulikua hujamfollow khaaa ulichelewa aiseee mi mahandsome wote nimewafollow hadi levy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli nimeamini ukiwa mwongo jitahidi na kumbumbuku uwenazo aisee nimeumbuka!....loh.,hii maneno si ungemwambia mwenyewe kwenye kijiwe 'chenu' cha Wakacha?...,au ulitaka kutelezea ganda la ndizi?
..ushajisahau maskini!
WooordKwani pesa za urithi ni haramu? kama Baba'ko alikuwa mzembe usiwaonee mtimanyongo walioandaliwa future na wazazi wao.
Kama unadhani kurithi pesa ni kazi rahisi basis na we we waandalie watoto wako urithi huo.
πππππππView attachment 394506[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]