Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.Mvua za vuli kua chini ya wastani
Habarini wakulima wenzangu. Mimi mkulima mpya (form one) nimejiandaa haswaa na kilimo kipindi hiki kuelekea mvua za vuli. Hofu yangu kuu ni mvua kwani kilimo nilichopanga kufanya kinategemea mvua. Watu wapo site wanaissafisha pori eka za kutosha tu tena wamepiga kambi. Narudi kwenye kurasa za...www.jamiiforums.com
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Mkuu nakufollow PMNiliona nakumbuka lakini siku kufuatilia kama ulikuwa na MILION kumi ulitakiwa uchimbe kisima Chako na ununue pampu ya solar kipindi hiki Cha jua inafanya kazi vyema sana Kisha mipira ya kazaa ya kusambazA maji katika Eka 5 tu asee ungepiga mazao hiyo tulishaacha kipindi Cha nyuma huko jitahidi kishirikiana na watu
Ulilima zao gani,? Kuna Watu wanalima mpunga wa kumwagilia hawalii mvua kutokunyesha!Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.Mvua za vuli kua chini ya wastani
Habarini wakulima wenzangu. Mimi mkulima mpya (form one) nimejiandaa haswaa na kilimo kipindi hiki kuelekea mvua za vuli. Hofu yangu kuu ni mvua kwani kilimo nilichopanga kufanya kinategemea mvua. Watu wapo site wanaissafisha pori eka za kutosha tu tena wamepiga kambi. Narudi kwenye kurasa za...www.jamiiforums.com
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Mil 10 angeweka kwenye Nini asipate hasaraMil 10 unawekeza kwenye kilimo? Akati watu wanalima kuitafuta hiyo Mil 10.
Poleee sanaa.
Ndio kuanza na kuanza na 10M?
Kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Huku niliko bado najipa imani japo karoho kananidunda kuwa imeisha
Nikadhani kisima cha kuchoronga na machine Nicholas cha wachimba na motor ni sawa but sio permanently sana. Pia naomba uniunganishe na hao wachimbaji nipo geita msalala mkuuPump ya kuvuta maji ya kumwagilia Eka Tano Haizid laki tatu ya Sola na kisima mfano Geita nilipo wanachimba kwa 300000 kinatosha kumwagilia Eka Tano mpaka 10 kwakuwa unamwagilia HAIZIDI masaa 6 kwa siku kina kuwa na matumizi hayo ni kawaida kabisa
Biashara ya ununuzi wa mazao.Mil 10 angeweka kwenye Nini asipate hasara
Wapi huko boss?Ulilima zao gani,? Kuna Watu wanalima mpunga wa kumwagilia hawalii mvua kutokunyesha!
Yes. Niliwekeza 10m kwa kulima eka 30.Mil 10 unawekeza kwenye kilimo? Akati watu wanalima kuitafuta hiyo Mil 10.
Poleee sanaa.