Shikamoo kilimo

Shikamoo kilimo

Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Hapa tunapata funzo kwamba siku tukiingia shambani tusitegee mvua kama chanzo cha maji, tupambane tupate mfumo wa umwagiliaji.
 
Ebu elezea hicho kilimo cha uhakika
Kwa hiyo hela hapo alitakiwa alime hekari zisizozid tano achimbe kisima, anunue pump na pipe za kusupply maji, kwa kua eneo ni virgin land hukukua sana na ulazima wa mbolea na madawa mengine baada ya hapo kila mwaka angekua anaongeza eneo kulingana na faida anayopata. Asingerud hapa kulia lia
 
Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.

Ndio mpumbavu mmoja wa uvccm anasema watoto waliokosa ajira wakafanye kilimo bila mtaji! Akili za hawa wanasiasa wetu na watarajiwa wao ni hasara tupu, na wakwepa kuwajibika tu muda wote na majibu mepesimepesi tu
 
Yani wewe ulienda kubet wakat kwa hio hela ulikua na uwezo wa kufanya kilimo cha uhakika
Tupe heshima wazee wa kubet, sisi hatufanyi ujinga wa kuzika pesa, kutumia nguvu nyingi bila manufaa,mimi pia ni muhanga wa ukame kwenye kilimo mwaka huu lakini niliwekeza kiasi kidogo tu cha pesa " nilichekecha" , zingine nikawekeza kubeti ,shambani kumegoma lakini huku kwenye kubeti nimerudisha hela iliyopotea shambani.
Na ndio sitaki tena mambo ya kulima.
 
Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Pole sana mkuu mimi kama mkulima mwenzako naomba nikwambie kwamba hilo ni suala la kawaida kabisa. Hakuna kufanikiwa bila kuchukua risk. Usikate tamaa. Back to the arms room!
 
Kwa hiyo hela hapo alitakiwa alime hekari zisizozid tano achimbe kisima, anunue pump na pipe za kusupply maji, kwa kua eneo ni virgin land hukukua sana na ulazima wa mbolea na madawa mengine baada ya hapo kila mwaka angekua anaongeza eneo kulingana na faida anayopata. Asingerud hapa kulia lia
Haya maelezoo ulitakiwa kuyasema mapema mkuu, leo tatizo limetokea kwa jamaa kesho litatokea kwangu sasa ili tusiende na loop ya mambo yale yale kujirudia inabid usemwe ukweli. Asante nimejifunza kitu.
 
Tupe heshima wazee wa kubet, sisi hatufanyi ujinga wa kuzika pesa, kutumia nguvu nyingi bila manufaa,mimi pia ni muhanga wa ukame kwenye kilimo mwaka huu lakini niliwekeza kiasi kidogo tu cha pesa " nilichekecha" , zingine nikawekeza kubeti ,shambani kumegoma lakini huku kwenye kubeti nimerudisha hela iliyopotea shambani.
Na ndio sitaki tena mambo ya kulima.
Huyo kapata hela kabla ya kupata akili ndio mana amefeli kiboya sana. Bora angetafuta odds zake 2 tu. Sasa iv angekua mbali sana
 
Ndio kuanza na kuanza na 10M?
Kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Bora ukizika 10m ni Bora uweke mechanization ya plan B mvua ikigoma unafanya IRRIGATION SYSTEM..
Don't forget your history
Know your destiny
In the abundance of water
The fool is thirsty
Rat race
Rat race
Rat race
_Bob Marley.
 
Kwa hiyo hela hapo alitakiwa alime hekari zisizozid tano achimbe kisima, anunue pump na pipe za kusupply maji, kwa kua eneo ni virgin land hukukua sana na ulazima wa mbolea na madawa mengine baada ya hapo kila mwaka angekua anaongeza eneo kulingana na faida anayopata. Asingerud hapa kulia lia
Asante kwa ushauri.
Ila ungeuliza kwanza nimelima nini. Afu haya sio matikiti ya kulimwa eka 5. Ili upate value for money unatakiwa ulime ekari nyingi ndugu. Huwezi weka system ya umwagiliaji kwa shamba la eka 30.
 
Umenikumbusha jamaa anaitwa elinino, Uzi wake '' Nimeamua kulima mara ya pili" uliniingiza KWENYE kilimo licha ya kula za uso za kunitosha.

Labda kama ulinda sehemu mpya mbona Kuna baby nilimpa kazi ya kunilimia msosi wa kula tu mwenyewe kasema sikilizia upepo mwaka huu hauko vizuri akashauri tumuombe jamaa aloyetukodishia shamba tuextend muda. Mahala ambapo hiyo michezo wanafanya sana wanajua kusoma ramani bila hata TMA.
 
Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Pole sana kwa hasara uliyopata mdau, farming is unpredictable, especially when the rains don’t follow the forecast. But don’t lose hope!

Next time, jaribu kufanya deep research on the best areas for your crops na consider irrigation methods kama uwezekano upo. Pia, tafiti drought-resistant crops ili kupunguza risk.Kilimo is all about learning and adapting hii experience ni somo kwa season inayofuata stand up and rise men Don't loose hope.
Stay strong, don't give up! You can do it again, smarter this time bro!
 
Back
Top Bottom