Shikamoo kilimo

Shikamoo kilimo

Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Kwa waafrika, kilimo ndiyo biashara kichaa na ngumu kuliko zote. Ila amka, futa vumbi, songa mbele
 
Kwamba ningeanza na pesa kidogo mvua ndio ingenyesha? Stupid.
Mkuu hamanishi mvua ingenyesha la hasha but kila unapoanza unatakiwa uanze na kidogo ukiweka hela yote ukija kuangukia pua basi anguko linakuwa kubwa sana na unakata tamaa.

mimi nilitumia si zaidi ya m4 lakini nilipata faida kubwa .Japo nikweli kilimo kinachangamoto lakini mimi huwezi nishawishi niache kulima hata siku moja.

Mwaka 2022 nilikodi heka mbili nikalima mahindi nilitumia si chini ya m2 lakini nilipata debe5 za mahindi mwenye shamba akaniambia mwaka unakujua nakupa bure ulime..... nikalima nikapata gunia 23 na kila gunia niliuza kuanzia 85k hadi 100k nikapata m2na 115k. mwaka jana sijalima maana nilisituka kwa sababu ya mvua.

MKUU UKIKATA TAMAA UNAJIKATIA TAMAA MWENYEWE WENZAKO WATASONGA MBELE KUTEREZA SIO KUANGUKA SIKU ZOTE!
SIMAMA SONGA MBELE

SOMA
 
Niliona nakumbuka lakini siku kufuatilia kama ulikuwa na MILION kumi ulitakiwa uchimbe kisima Chako na ununue pampu ya solar kipindi hiki Cha jua inafanya kazi vyema sana Kisha mipira ya kazaa ya kusambazA maji katika Eka 5 tu asee ungepiga mazao hiyo tulishaacha kipindi Cha nyuma huko jitahidi kishirikiana na watu
But hela isingetosha mkuu
 
Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Kufutana

Kwani wewe unafanya shughuli gani. Naomba jibu ili niweze kukupa ushauri sahihi.
 
Mkuu hamanishi mvua ingenyesha la hasha but kila unapoanza unatakiwa uanze na kidogo ukiweka hela yote ukija kuangukia pua basi anguko linakuwa kubwa sana na unakata tamaa.

mimi nilitumia si zaidi ya m4 lakini nilipata faida kubwa .Japo nikweli kilimo kinachangamoto lakini mimi huwezi nishawishi niache kulima hata siku moja.

Mwaka 2022 nilikodi heka mbili nikalima mahindi nilitumia si chini ya m2 lakini nilipata debe5 za mahindi mwenye shamba akaniambia mwaka unakujua nakupa bure ulime..... nikalima nikapata gunia 23 na kila gunia niliuza kuanzia 85k hadi 100k nikapata m2na 115k. mwaka jana sijalima maana nilisituka kwa sababu ya mvua.

MKUU UKIKATA TAMAA UNAJIKATIA TAMAA MWENYEWE WENZAKO WATASONGA MBELE KUTEREZA SIO KUANGUKA SIKU ZOTE!
SIMAMA SONGA MBELE

SOMA
Asante sana kiongozi. Kwakweli nimefarijika.
 
Inaonesha ni mara ya kwanza kujihusisha na kilimo cha biashara tena large scale.

Mzee hukutakiwa kuinvest pesa yote hiyo.
Ungeanza kidogo kama sehemu ya kuchukua experience
Yap ni mara ya kwanza. Ila ni baada ya kujiridhisha pakubwa kua hichi ninachokiendea kitanilipa. Kwa hiyo sikukurupuka kama wengine wanavyodhani.
 
Asante kwa ushauri.
Ila ungeuliza kwanza nimelima nini. Afu haya sio matikiti ya kulimwa eka 5. Ili upate value for money unatakiwa ulime ekari nyingi ndugu. Huwezi weka system ya umwagiliaji kwa shamba la eka 30.
Ndo useme sasa unalima nini ili watu watoe ushauri, au unalima skanka ndugu?
 
Yap ni mara ya kwanza. Ila ni baada ya kujiridhisha pakubwa kua hichi ninachokiendea kitanilipa. Kwa hiyo sikukurupuka kama wengine wanavyodhani.
Anyway....tuseme madiliko ya hali ya hewa hayajua upande wako. Usikate tamaa
 
Huyo kapata hela kabla ya kupata akili ndio mana amefeli kiboya sana. Bora angetafuta odds zake 2 tu. Sasa iv angekua mbali sana
Mkuu hivi ndivyo watu wanavyotajirika na hivi ndivyo watu wanavyofirisika.
Kama mvua ingenyesha vizuri, ungebadili kauli, ungemwita tajiri au ametoboa.
 
Kulima sio mchezo, siku nyingine kuwa mnunuzi..!! Subiri wavune ununue ukauze.
 
Hauko pekeako mkuu
hata sisi tuliowekeza elfu 50 kwenye kulima tumeliwa
IMG_20250304_073247_595.jpg
 
MILION 10 ulikuwa unaenda kuwa tajiri kwa muda wa miaka 3 ungekuwa na kipato endelevu kisichopungua laki 6 -1000000 kwa mwezi inategemea na mfumo wako uliojipangia
 
Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa.
Basi nikajipa moyo. Nikaendelea na process za kulima na kisha ilinyesha mvua kidogo. Tukazika mbegu shamba lote.
Ekari 30.
Tuliweka camp nikiambatana na wafanyakazi wangu wa mkataba wa 3.
Vibarua hawakukauka shambani kwangu.
Kwakweli kazi ilifanyika kwa ustadi wote.
Sikutaka kurudi mjini mpaka nione hatima ya pesa yangu ninayoizika siku hadi siku.
Huku nikipewa matumaini na wakulima wenzangu kua mvua ziko karibuni.
Siku zinakatika jua linazidi kudhoofisha mimea yangu.
Inasikitisha sana kushuhudia mimea inanifia machoni mwangu.
Nimekata tamaa.
Inasikitisha sana.
Pole sanaa nimependa ulivyokuwa muwazi, kwamba kwenye kilimo wewe ni mgeni! Kosa ulilolifanya ni ku-invest a huge amount of capital kwa trial project kulingana na uwezo wako. Maana mwengine hiyo 10M ni hela ya kawaida. Pole sanaa Mkuu, ni kweli kilimo kinalipa tena sanaa lakini inahitaji kuwa adaptive to the latest technologies ili kuweza kupata matokeo makubwa tarajiwa. Ni ukweli usiopingika kama unataka kufanya kilimo serious basi andaa miundombinu ya kilimo kwanza, mtafute mtaalam kwa hiyo amount ungeweza kufanya irrigation layout nzuri tuu na kuitumia kwa muda mrefu.
Nina mengi ya kusema lakini naomba niishie hapa.
Mimea haihitaji mvua ili ipate kustawi, la hasha mimea inahitaji MAJI ili iweze kustawi. Tuondokane na dhana za karne za zamani tunasubiri msimu wa mvua ili tulime. Hapana twende kitaalam wasomi tunao tuwatumie ili mambo yaende vizuri. Kwa kusema hivi simaanishi kwamba usilime eneo lako ambalo lipo free tuu kwa kutegemea mvua, unaweza ukalima ila kaa chini CALCULATE RISK kwanza then ndiyo uingie mzigoni.
Narudia tena, natoa Pole nyingi sana kwako kwani hiyo inahitaji ujasiri. Usivunjike moyo
 
Back
Top Bottom