Shikamoo Malaria, aiseeh! Sijawahi kuumwa hivi. Siku tatu kama mwaka.

Shikamoo Malaria, aiseeh! Sijawahi kuumwa hivi. Siku tatu kama mwaka.

Pole Mtibeli. Hiyo ilikuwa Cerebral malaria. Ungechelewa kidogo ungekuwa kichaa.

Hata hivo fanya kununua gari wifi yupo sahihi. Hivi mtu kama wewe unakosaje gari?
 
Pole Mtibeli. Hiyo ilikuwa Cerebral malaria. Ungechelewa kidogo ungekuwa kichaa.

Hata hivo fanya kununua gari wifi yupo sahihi. Hivi mtu kama wewe unakosaje gari?

Ahsante Sana Hannah.
Aiseeh ningekuwa kichaa aloooo! Noma Sana.

Kwenye gari hapo Patamu. Ngoja iniingie akilini.
 
Na kulivyo na mbu kwa sasa itabidi tu nianzage dozi mapema, malaria nikiugua huwa adi napungua.
 
Kwani Wasabato huwa mnasherehekea Pasaka..!!?.
Nijuavyo Wasabato hawana Krismasi wala Pasaka kama madhehebu mengine

Ni kweli Wasabato hawana sikukuu iitwayo Pasaka
Lakini tulichagua siku hiyo kukutana ndugu wote.
Kumbuka ndugu wanaimani tofauti, wapo wasabato, Waislam, wakatoliki, Walutheri, walokole, wanaoamini Dini za JADI, pamoja na Atheist
 
Back
Top Bottom