Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #61
Pole sana mkuu.
Ahsante Sana Mkuu
Pole sana mkuu.
Yes. Bila shaka ndo urine analysis....wanasema pako poa ila mkojo ni wa moto na pia naupata kidogo kidogo....UTI Umecheki?
Yes. Bila shaka ndo urine analysis....wanasema pako poa ila mkojo ni wa moto na pia naupata kidogo kidogo....
Asante, ngoja nipambane yaani naenda kukojoa kama mtu mzeeMmh!
Pole Sana.
Usisahau Maji ya kutosha.
Madaktari WA JF watakushauri
Nacheka ila mi mwenyewe naumwatangu ijumaa kuumpaka leo,kuna kaupepo kabaya kamepita😄😄😄
Ningekuwa nakutokea kazini kwako kama nsyuka. Mbona kwa waganga ungeenda sana
Pole mzeya usiwe na tengeneza urafiki na mbuuNusura initoe Roho
Pole mzeya usiwe na tengeneza urafiki na mbuu
Nacheka ila mi mwenyewe naumwatangu ijumaa kuumpaka leo,kuna kaupepo kabaya kamepita
Punguzeni personal kwenyr social media
Kwan huu ugonjwa Bado upo
Ungeruachia mkeo tuanza kuruka nae 🤣🤣🤣.Hakika
Nusura nirudishe Namba.
Nilipima malaria nikaambiwa sina ila dalili zote za malaria nilikuwa nazo,Pole sana Mkuu.
Yaani familia nyingi zinaumwa
Pole sana mkuu ila si unaendelea vyema?Aiseeh! Kuna Mbu wengi Sana. Yaani ikifika jioni Nje hakukaliki.
Siku tatu zimenikindesha nahisi sio chini ya kilo mbili zimepungua
Maana ilikuwa kwa mwaka si chini ya mara tatu kuumwa😄😄
Mwenyewe nilishangaa. Tangu nipo O level Miaka zaidi ya 15 huko sijawahi kuumwa huo ugonjwa
Hatari SanaMaana ilikuwa kwa mwaka si chini ya mara tatu kuumwa