Shikamoo Malaria, aiseeh! Sijawahi kuumwa hivi. Siku tatu kama mwaka.

Makanya ni hapo tu wala sio mbali, coaster laki saba-nane mzigo unafikishwa watu wanazika na kurudi mjini.

Tena wengine tunapanda milimani kwetu kusabahi baada ya kukuweka "6ft under".πŸ˜…

Anyways, hakuna kufa...we'll live to see our great grandchildren.
 
Umeondika ngonjera yote hiiyo? Kweli umeumwa na malaria?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ni kweli Kabisa

Lazima tuishi
 
Pole sana mkuu.
 
Siku ya tatu natetemeka kitandani baridi na joto kwa wakati mmoja. Nimepima malaria , mkojo, blood picture...wanasema hamna kitu! Wakanipa madawa ya antibiotic lakini hakuna nafuu. Nimeenda kucheki hospital nyingine malaria haipo! Naona dalili ni kama ulivyoelezea!
 

Pole Sana Mkuu
Ikawaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…