BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
- Thread starter
-
- #21
Ntakucharaza bakora πΉπΉπΉ unataka kuniZalilisha mbele ya wakwe zangu akina DR Mambo Jamboππππ nimelewa wizo nishasahau
Marahaba Dokta.Shikamooo bichwa
ππππ tatizo wizo unajimix mwenyewe ukianza kunitishia kunipiga hogo la papuchi banaβ¦ anyway sirudii tena my wizooo.Ntakucharaza bakora πΉπΉπΉ unataka kuniZalilisha mbele ya wakwe zangu akina DR Mambo Jambo
π€£π€£π€£ wizo dr mbona umemuitikia?? Kumbe unampenda ww huna loloteβ¦.. mfyuuuu!!Marahaba Dokta.
Kusalimiwa na mstaafu ni heshima mno πΉπΉ
Natengua amri yangu ya kuifuta shkamoo.
π π€£π€£π€£Marahaba Dokta.
Kusalimiwa na mstaafu ni heshima mno πΉπΉ
Natengua amri yangu ya kuifuta shkamoo.
kwa wazee wa kisasa baada ya kuitikiwa salamu hiyo, ni lazima pisi irudishiwe MAMBOooow....Hivi hii salamu ya kifashisti ilitungwa na nani?
Kuna watu wamenizidi umri lakini nikiwaamkia shkamoo hawaitikii. Wanaona soo.
Kesho yake ukijiongeza ukaamua kutokumsalimia ananuna na kufura kama jinamizi. Sijui ni kwanini ati?
Mimi mwenyewe nikiambiwa shkamoo siitikii kabisa. Labda niamkiwe na vitoto vya chekechea.
Dume zima na mandevu ati shkamoo? Kivipi?
Namuagiza samia aifute hii salamu ya shkamoo mara moja katika mipaka yote ya Tanganyika. Salamu ya fedheha sana hii.
Awaelekeze Bakita watunge salamu nyingine itakayoenzi utu wa watu badala ya kusujudiana kwa mashkamoo ya hovyo hovyo.
Hogo la papuchi liko pale pale wizo. Nitakupiga nalo japo mie ni shangazii πΉπΉπΉππππ tatizo wizo unajimix mwenyewe ukianza kunitishia kunipiga hogo la papuchi banaβ¦ anyway sirudii tena my wizooo.
π€£π€£π€£π€£ unazingua wizoHogo la papuchi liko pale pale wizo. Nitakupiga nalo japo mie ni shangazii πΉπΉπΉ
Tena uniheshimuu mie wifi yako alaaaah
Sio kwamba tuwe Proud, pamoja na uchanga wa Lugha ya Kiswahili tumefanikiwa angalao kutunga salaam ya Kiheshima?!Hivi hii salamu ya kifashisti ilitungwa na nani?
πΉπΉπΉkwa wazee wa kisasa baada ya kuitikiwa salamu hiyo, ni lazima pisi irudishiwe MAMBOooow....
ili kusawazisha hali ya urika na kutengeneza mazingira ya kwamba uzee hakuna kati yenu....
πΉπΉπΉπΉπ€£π€£Shikamoo ni sign of respect. mTu wa hovyo hovyo na shoga kama wewe obviously huthamini heshima ya jamii iliyokuzunguka
Mimi sipendi shkamoo imekaa kinafiki sanaSio kwamba tuwe Proud, pamoja na uchanga wa Lugha ya Kiswahili tumefanikiwa angalao kutunga salaam ya Kiheshima?!
Dr ni mkwe wangu wizoo, shemeji yangu ni mwanae wa tatu aliyemuoa dada yangu mzaa shangazi yanguu ππ€£π€£π€£ wizo dr mbona umemuitikia?? Kumbe unampenda ww huna loloteβ¦.. mfyuuuu!!
Wahenga wote huchukia Shkamoo inayotoka kwa Wasichana warembo.Mimi sipendi shkamoo imekaa kinafiki sana
Huu utambulisho wizo sijauelewa vitawi vingi sana π€£π€£π€£π€£Dr ni mkwe wangu wizoo, shemeji yangu ni mwanae wa tatu aliyemuoa dada yangu mzaa shangazi yanguu π
Mpige hogo la papuchi π€£π€£π€£