Frank I Ritte
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,003
- 1,350
Salamu za kitumwa.Salimia hivi Asalaam aleykum kwa waislamu, na bwana asifiwe kwa Wakristo, kwa wana wape tu mambo vipi au oi oi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salamu za kitumwa.Salimia hivi Asalaam aleykum kwa waislamu, na bwana asifiwe kwa Wakristo, kwa wana wape tu mambo vipi au oi oi.
Eeeh kama hataki anapita hv me nikikutana na mtu nikimsalimia asiitikie anaefuata huwa simsalimii ya kwanza ina-replace wa piliNikimwangalia mtu zaidi ya sekunde tatu nisijue nampa salamu gani basi nakusha tu
Miim pia sipendi kuamkiwa wala kuamkia
Ungemwambia tu "Shikamboo" [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Tangu nimerudi nchini nimekuwa nikipata tabu sana kutambua yupi anastahili shikamoo na yupi hastahili, kuna nalingana nao umri ila wana maumbo makubwa hivyo najikuta nikiwapa shikamoo na hawaitikii.
Kuna watu ni wakubwa ila wanaonekana ni wadogo ki-umbo hivyo nimekuwa nawa-skip na huniona sina adabu, najiona nimekuwa.
Yaani kwa kifupi nimechoshwa na hii salamu,, ni salamu ya hovyo mnoo, nimechoshwa kila ninapokutana na mtu nianze kufikiria salamu ya kumpa.
Mbona wenzetu mfano Uganda salamu ni hiyo hiyo mdogo ana msalimia mkubwa na mkubwa ana msalimia mdogo..
Anyway, nguvu moja [emoji881]
Yaani sipendi watoto wanisalimie shikamoo. Bora aseme mambo, how are you,. Unakuta vitoto kama 7 vyote shikamoo tajiri kichwa
Shikamoo [emoji1787][emoji1787]
Ishiiiiiy watembee na kadi za clinic.
Swali la kizushi: juzi tulikuwa na mashoga zangu umbea wa hapa na pale likazuka swali!
Let say mdada ana 30yrs ana date mbaba wa 55 yrs. Kabla ya kudate heshima kibao kama anapokea ekaristi.
sasa ndo ku date haswa hivi kikatiba isiyo rasmi huyu mwanaume shikamoo yafaa kuendelea kumzeesha tena?
Wanaume mkuje mjibu haraka mnatuchanganya. Sasa mtu umelala nae the same bed at asubuhi "shikamo" hii imekaaje?
Mko wapi wanaume nawasubiri hapa!!!
Kuwa na wewe upate yakoShikamoo
Umetumia lugha chafu sn na kweli umeonesha jinsi usivyo na adabu. Yani mama wa watu tena mtu mzima unamuita "kimama". Kizazi hiki laana tupu. Vipi angekuwa mama yako ndo anaitwa"kimama" utajiskiaje.Kuna kimama nilikutana nacho kwenye bajaji nikakiambia "za saa hizi" kikaniletea jau eti "unalingana na mwanangu wa kwanza, nipe shikamoo yangu" yaani tabu tupu
Kumbe tupo wengi daaaahTangu nimerudi nchini nimekuwa nikipata tabu sana kutambua yupi anastahili shikamoo na yupi hastahili, kuna nalingana nao umri ila wana maumbo makubwa hivyo najikuta nikiwapa shikamoo na hawaitikii.
Kuna watu ni wakubwa ila wanaonekana ni wadogo ki-umbo hivyo nimekuwa nawa-skip na huniona sina adabu, najiona nimekuwa.
Yaani kwa kifupi nimechoshwa na hii salamu,, ni salamu ya hovyo mnoo, nimechoshwa kila ninapokutana na mtu nianze kufikiria salamu ya kumpa.
Mbona wenzetu mfano Uganda salamu ni hiyo hiyo mdogo ana msalimia mkubwa na mkubwa ana msalimia mdogo..
Anyway, nguvu moja [emoji881]
Bad [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waambie tu "heshima yako" au "za saa hizi".
Halafu mtu akiketa kimbelembele chake kudai shikamoo unampa tano.
Ahaahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kimama nilikutana nacho kwenye bajaji nikakiambia "za saa hizi" kikaniletea jau eti "unalingana na mwanangu wa kwanza, nipe shikamoo yangu" yaani tabu tupu