Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si Wanyakyusa hao?Ahahahah kuna mahali nilienda nikawasalimia z sahizi wakaaza kuongea kilugha kuwa sina adabu nikawap shikamoo yao
Tuombe msamha mkuu hao ni wasukuma na wake wakelewe 🤣🤣🤣Si Wanyakyusa hao?
utamaduni wetu na wa waganda tofautiTangu nimerudi nchini nimekuwa nikipata tabu sana kutambua yupi anastahili shikamoo na yupi hastahili, kuna nalingana nao umri ila wana maumbo makubwa hivyo najikuta nikiwapa shikamoo na hawaitikii.
Kuna watu ni wakubwa ila wanaonekana ni wadogo ki-umbo hivyo nimekuwa nawa-skip na huniona sina adabu, najiona nimekuwa.
Yaani kwa kifupi nimechoshwa na hii salamu,, ni salamu ya hovyo mnoo, nimechoshwa kila ninapokutana na mtu nianze kufikiria salamu ya kumpa.
Mbona wenzetu mfano Uganda salamu ni hiyo hiyo mdogo ana msalimia mkubwa na mkubwa ana msalimia mdogo..
Anyway, nguvu moja [emoji881]
Shikamoo kwa Mume kutoka kwa mkewe inategemea na asili ya familia na mahusiano baina ya mke na mume bila kujali umri. Mfano:Ishiiiiiy watembee na kadi za clinic.
Swali la kizushi: juzi tulikuwa na mashoga zangu umbea wa hapa na pale likazuka swali!
Let say mdada ana 30yrs ana date mbaba wa 55 yrs. Kabla ya kudate heshima kibao kama anapokea ekaristi.
sasa ndo ku date haswa hivi kikatiba isiyo rasmi huyu mwanaume shikamoo yafaa kuendelea kumzeesha tena?
Wanaume mkuje mjibu haraka mnatuchanganya. Sasa mtu umelala nae the same bed at asubuhi "shikamo" hii imekaaje?
Mko wapi wanaume nawasubiri hapa!!!
Salimia asalam aleykum, salamu hiyo haina mkubwa wala mdogoTangu nimerudi nchini nimekuwa nikipata tabu sana kutambua yupi anastahili shikamoo na yupi hastahili, kuna nalingana nao umri ila wana maumbo makubwa hivyo najikuta nikiwapa shikamoo na hawaitikii.
Kuna watu ni wakubwa ila wanaonekana ni wadogo ki-umbo hivyo nimekuwa nawa-skip na huniona sina adabu, najiona nimekuwa.
Yaani kwa kifupi nimechoshwa na hii salamu,, ni salamu ya hovyo mnoo, nimechoshwa kila ninapokutana na mtu nianze kufikiria salamu ya kumpa.
Mbona wenzetu mfano Uganda salamu ni hiyo hiyo mdogo ana msalimia mkubwa na mkubwa ana msalimia mdogo..
Anyway, nguvu moja [emoji881]
Wanyakyusa bana, mi nimezoea kuwaambia watu Hujambo, kumbe Wanyakyusa hawapendi, nimekosana na wamama wengi kisa HujamboTuombe msamha mkuu hao ni wasukuma na wake wakelewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahahhahah ninyi mwaka uhu mmetuonea sana ngoja mwka uisheWanyakyusa bana, mi nimezoea kuwaambia watu Hujambo, kumbe Wanyakyusa hawapendi, nimekosana na wamama wengi kisa Hujambo
Ndo hivyo ati ila Uzuri wa Wanyakyusa sio wachoyo, ndio mkoa ambao nimepewa bure sanaAhahhahah ninyi mwaka uhu mmetuonea sana ngoja mwka uishe
Nakwmbia utalipia unafurahia bureNdo hivyo ati ila Uzuri wa Wanyakyusa sio wachoyo, ndio mkoa ambao nimepewa bure sana
Heshima yako [emoji1787][emoji1787]
Mwaka sasa umepita ila niliwafaidi sanaNakwmbia utalipia unafurahia bure
Mimi pia siitumii sana japo kuna wengine huwa wananisemaBinafsi siitumii tena, hata kwa wazee. Kuna salamu zenye heshima kuliko hiyi ambayo hata haieleweki.
Kaka mkubwa nimesema utalipiaMwaka sasa umepita ila niliwafaidi sana
Watasema tusalimiane kwa kazi iendeleeTangu nimerudi nchini nimekuwa nikipata tabu sana kutambua yupi anastahili shikamoo na yupi hastahili, kuna nalingana nao umri ila wana maumbo makubwa hivyo najikuta nikiwapa shikamoo na hawaitikii.
Kuna watu ni wakubwa ila wanaonekana ni wadogo ki-umbo hivyo nimekuwa nawa-skip na huniona sina adabu, najiona nimekuwa.
Yaani kwa kifupi nimechoshwa na hii salamu,, ni salamu ya hovyo mnoo, nimechoshwa kila ninapokutana na mtu nianze kufikiria salamu ya kumpa.
Mbona wenzetu mfano Uganda salamu ni hiyo hiyo mdogo ana msalimia mkubwa na mkubwa ana msalimia mdogo..
Anyway, nguvu moja [emoji881]
Ndo hivyo ati ila Uzuri wa Wanyakyusa sio wachoyo, ndio mkoa ambao nimepewa bure sana
Maringo tu 😀😀tutajuaje kama alikua nje ya injiAhaha..Kwan kabla haya nje ya "inji" si alikua anafahamiana na hawa watu ndio mana hata amerud bado kawagundua?
Atumie utaratibu ule ule kabla hajaenda nje ya "inji"