Shikamoo wasanii wa bongo, naomba mnijibu maswali yangu

Status
Not open for further replies.

Kwani we unaonaje soma mara mbili huo ujumbe sio kukurupuka..............,
keshasema yeye mwenyewe asingeweza kuna msaada kaupata ndio gari likanunulika......

Na bmw inategemea ya mwaka gani, mwisho wa siku ukweli utajulikana
tatizo waja mna haraka
 

Ushahidi gani wautaka, kadi hiyo Wema ndo mmliki halali
watu mlianza atapewa nini akapewa gari mkasema kadi iko wapi
kadi mkaonyeshwa, mkasema mnataka jina sio lake jina tumewapa...
sa hivi Martin hawezi na kweli kaka wa watu ka admit asingeweza yeye mwenyewe
sa sielewi ushahidi gani mwataka... alivotoa ela kwenda kununua gari????????????

 
Inashangaza eti kaka meneja muwe mnakua nyie mabinti wa kibongo shauri zenu ukiita mameneja kakaako atatoka kweli

we uliekua ungekua siasani japo ujadili namna gani tutapata katiba bora
ila ulivyo mmbea ukaja kukaa huku....
 

Nashukuru kwa ushahidi ulioweka nami natumai zawadi hiyo ni nguvu ya Wema,Kadinda na team Wema.Mjini hakuitaji jembe wala shoka mjini akili tu.
 

Naomba picha yenye full details hata bajaj zinamiliki hiyo kadi samahani lakini
 
Aisee,hili jukwaa kila siku kuna ligi...tena tamu kwelikweli Dinazarde I hop unafuatilia kimyakimya siku hizi lolowapi anakuogopa namuona kwa nadra sana nimeimiss ligi yenu jamani...
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…