Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Sasa wewe unaona yule punga kadinda anaweza kununua BMW nitajie wasanii wawili unaowafahamu toka umezaliwa sanaa imewapatia BMW hana kazi anayoweza fanya akapata hela ya kununulia BMW acha ushabiki maandazi we unaamini maandishi BMW sio Samsung Galaxy kwamba mda wote utashinda Instagram
Kwani we unaonaje soma mara mbili huo ujumbe sio kukurupuka..............,
keshasema yeye mwenyewe asingeweza kuna msaada kaupata ndio gari likanunulika......
Na bmw inategemea ya mwaka gani, mwisho wa siku ukweli utajulikana
tatizo waja mna haraka