We ndo kichekesho unavyompamba mtu kama ww ndo bwana ake huyu ni marioo wa zamani tena hatangazwi we ndo hujui au una taarifa za uongo
naona umeamua tu kuchafua watu na wala huna data..unahisi tu na kukusanya vya uongo uongo..mario mario bas we kuwa maria
Wote tukiwa siasani malimbukeni kama nyinyi si mtapotea kabisa mana mama zenu wameshindwa kuwafunza tuacheni walimwengu tuwape funzo kiroho safi
Mkuu mimi hapa sijaleta umbea, Naamini kuna maswali naweza kukuuliza kuhusu huyo unaye mtete yakakufanya usirudi hapa kucomment. Mi nataka tujadili kwa uwazi, ndio maana nikaomba kueleweshwa. Mfano Mchomvu anaendesha gari GX100 je Kainunua? Ile gari ni ya Aisha(Mama la Mama). Hiyo gari anayoendeshwa Aisha alihongwa na Bwana yake Mzungu aliye Ulaya. Au unataka kusema LIle duka la Nguo Pale Msasani ndio Kapata hela ya Kununua GX100?. Samahani Mkuu naomba uje Unieleweshe. Sababu haya maswali yananiumiza kichwa. Hivi Aisha(Mama la Mama) angekua na Hela ya GX100 angefungua duka Msasani ambapo kodi ya mwezi ni Elfu 70 kwanini asifungue k/koo?. Naomba Ufafanuzi. Mia
Dadaangu hawezi kukuwadiwa na mapunga yule ni punga kama bilal mashauzi utaki unaacha
naona umeamua tu kuchafua watu na wala huna data..unahisi tu na kukusanya vya uongo uongo..mario mario bas we kuwa maria
Oya, heshima mbele mama. Huwezi kurushia maneno boi wakati kakujibu kistaarabu tu. Unanichefua we mwanamke...ulikuwepo wakati ana mkuwadia Lulu.......... Mpunga huwa unamla wewe.............
Mfyuuuu dume zima umekosa kazi za kufanya kuja kubishana na wanawake,
tafuta shuguli za kufanya mjini, wanaume wenzako wako busy kufanya kazi
wanahonga Murrano nyie ndio wale wapiga pumbu hata hela ya sabuni hamjui kutoa
hebu kafie mbele ya safari huko.................
Ushahidi gani wautaka, kadi hiyo Wema ndo mmliki halali
watu mlianza atapewa nini akapewa gari mkasema kadi iko wapi
kadi mkaonyeshwa, mkasema mnataka jina sio lake jina tumewapa...
sa hivi Martin hawezi na kweli kaka wa watu ka admit asingeweza yeye mwenyewe
sa sielewi ushahidi gani mwataka... alivotoa ela kwenda kununua gari????????????
Aisee humu watu wakalii eti mariaa
You kill it mkuu! Na hapo watu hawajaumiza kichwa, ni kitendo cha dakika sifuri. Heaven on Earth upogo?
Hahahahaaaa....kwa bongo hiyo isikutishe.
Mia
Oya, heshima mbele mama. Huwezi kurushia maneno boi wakati kakujibu kistaarabu tu. Unanichefua we mwanamke...
You kill it mkuu! Na hapo watu hawajaumiza kichwa, ni kitendo cha dakika sifuri. Heaven on Earth upogo?
Kama we hauna access na jukwaa la siasa shaurilo nahisi una kimando kwa nenda kapige mswaki kwanza usafishe domoHahahaaaaaaaaaaaaaaaa nicheke mie wa kunifunza uwe wewe
wewe kweli Mwanga huu muda wa kunifunza hii elimu nasaha ungeitoa kwako na familia yako...
stress za jukwaa la siasa uje uzimalizie kwangu umevurugwa wewe tena umevurugwa mbele na nyuma
Kama we hauna access na jukwaa la siasa shaurilo nahisi una kimando kwa nenda kapige mswaki kwanza usafishe domo
Nipo Miaka mia nane siendi mbele sirudi nyuma....................
you can easily notice the difference kati ya kadi mbili...............
Tlikoanzana hukujui na tutakakoacha hukujui Pitaaaaaaa vile...........
au nisubiri kwenye JF family nakuja.. Msalimie Suma na Kemp
Ya juu itakuwa imechukua muda kidogo kuifoji maana inaenda kwenye media. LAkini pia haioneshi ni kadi ya gari gani, yaweza kuwa Bodaboda ya 1.7M, nakumbuka huyu dada kwenye kipindi cha Zamaradi Mketema alidai nyumba ni yake na ametumia 40M kuipamba na kuirekebisha.
Sitashangaa na hili nalo akidanganya.
Kutojua mlikoanzia hakunifanyi nishindwe kutofautisha pointi na ushuzi. Nipe haki yangu.... JF Family nimetoka kidogo...