Unawajua watu wewe au unazungumzia viwatu utakuwa mama wakambo wa jonii nini mana inakuuma mpaka hujui kuwa unachokinenanaona umeamua tu kuchafua watu na wala huna data..unahisi tu na kukusanya vya uongo uongo..mario mario bas we kuwa maria
Unawajua watu wewe au unazungumzia viwatu utakuwa mama wakambo wa jonii nini mana inakuuma mpaka hujui kuwa unachokinena
Gari limtoe imani nani? Tuko kwa ajili ya mabadiliko, wasitengeneze illusion za urongo kwa vijana wetu ambao wanataka kuingia kwenye tasnia. Kemp hadi niende kwenye grupu, simu yangu nimeiweka kando kidogo, kwa sasa natumia simu ya tochi.Gari limewatoa imani vijana.........
Kemp ushampa salam zangu lakini??????????????
We unahisi huku ni umbeya tu huku tunakuja kuwachana ma role model wako kina wema ambao wanawatia kichwa mjini hapa mkue mjue maisha ni zaidi ya muvi unazoona wanaigiza eti keki ya mamilioni mi napata shida nikiona msichana kama ww ambae bado hujawahi jinunulia pedi unakuwa na mawazo mgandohahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wa kupiga mswaki niwe mie sio wewe uliyekurupuka
bila kuchamba kuja kuvamia watu..,
Sina acces ndio maana niko huku we mwenye Acces mbona uko huku kupiga
umbea usiokua na data kamilin RUDI SIASANI UKASAIDIE TUNAVYOWEZA KUPATA KATIBA BORA??????????
Hahahahahaaa.....Halafu wewe siku nikikufuata huko utanibeba, kwanini ulinidanganya tuseme kila siku unasahau? MiaUna maswali mengi......kwani we ni polisi.......?
Gari limtoe imani nani? Tuko kwa ajili ya mabadiliko, wasitengeneze illusion za urongo kwa vijana wetu ambao wanataka kuingia kwenye tasnia. Kemp hadi niende kwenye grupu, simu yangu nimeiweka kando kidogo, kwa sasa natumia simu ya tochi.
We unahisi huku ni umbeya tu huku tunakuja kuwachana ma role model wako kina wema ambao wanawatia kichwa mjini hapa mkue mjue maisha ni zaidi ya muvi unazoona wanaigiza eti keki ya mamilioni mi napata shida nikiona msichana kama ww ambae bado hujawahi jinunulia pedi unakuwa na mawazo mgando
Mi nikikusaidia wewe na ukaokoka toka kwenye huo ulimbukeni ntakuwa nimemsaidia mwana jamiiforum mwenzake kwani we hupendi nikikubadilisha ukaelewa na ukabadilika na kuelewa kuwa asilimia zaidi ya asilimia tisini ya wasanii wa bongo ni waongo na wewe ukaenda kuwasaidia wengine mabadiliko yanaanzia hapaHizo pedi we ndio huwa unaninunulia???????????????
Eti kumchana basi angeshachanika na mwili ukaisha..........
maana we sio wa kwanza na wala sio wa mwisho............
Ntakununulia ukichinja kuku mwisho wa mwezi huu usiogope bintiHizo pedi we ndio huwa unaninunulia???????????????
Eti kumchana basi angeshachanika na mwili ukaisha..........
maana we sio wa kwanza na wala sio wa mwisho............
Mkuu thanks sana,inaonyesha una data za hawa watu ,mara ya kwanza nilijua unaweza ukawa ndugu wa upande wa either Mchomvu (maana wote wawili..Adam na Aisha sir name zao ni Mchomvu) lakini nimejiridhisha pasi na shaka unawajua hawa watu lakini una data za zamani na huna current informations zao za karibuni...Mchomvu haendeshi Gx 100,lakini alikuwa na GX mia kama miaka mitatu imepita akauza akanunua hypsum(kama kumbukumbu iko sawa) akauza nayo saizi anakigari kimoja kama dizain vitz (but not vitz)..nimesahau jina lake...Aisha hajawahi kuwa na GX 100 mara ya mwisho nakumbuka alikuwa na RAV4 nyeusi milango miwili akauza (I think anayo Tino) akanunua Verosa...nenda pale kwa adam mbezi ya chini karibu na new oilcom utaproove ..tena utamkuta Aisha pale wa kujifungua leo kesho..mbona Adam anafight sana angalia anavyozunguka fiesta karibu zote inamaana analipwa mchanga ashindwe kununua Gx 100 mkuu? mkuu issue ya duka la nguo pale sio sababu ya Aisha kutokuwa na hela au lah..jiulize lilifunguliwa lini na mzigo alikuwa anafuata nch gani,by the way duka lile lishafungwa muda mrefu sana
Sasa sinataka niwafungue watu wajue wasiwategemee hawa ma role model uchwara wanaojiita wanamiliki nyumba kumbe wanawakimbia wenye nyumba kodi zikiisha kiroho safi Heaven on Earth
Hahahahaaa....!!!. Nshakufahamu. Mambo yanaendaje mkuu? Mpe hi Tina. Ngoja nimuache brother Mchomvu. Mwambie Aisha aiuze ile Verosa kila siku kwa fundi..hahahaaa...!!. Mia
Ntakununulia ukichinja kuku mwisho wa mwezi huu usiogope binti
Kabla hatujafunga mjadala @Heaven on Earth ile screenshot ya full details ya kadi ya gari naihitaji uliahidi kunitumia ili akidi itimieMhhhhhhhh mbona sijaona uliponifungua ujue..........
Nisamehe kwa maneno yangu
:sorry::sorry::sorry::sorry:
Mama, Mimi neno lako kwangu sheria. Sithubutu hata kukubishia. Tatizo langu hawa watu siwaamin kwani hawashindwi kugushi kitu kama hicho ili kujisafisha mitandaoni japo haina ulazima wa kufanya hivo. Tangu Lulu alipokutwa gari yake inatumia P.O.Box ya Polisi nliogopa sana na ili hawa niwaamini inanichukua muda. Umeshindaje Mama yangu. Mia
Gari limtoe imani nani? Tuko kwa ajili ya mabadiliko, wasitengeneze illusion za urongo kwa vijana wetu ambao wanataka kuingia kwenye tasnia. Kemp hadi niende kwenye grupu, simu yangu nimeiweka kando kidogo, kwa sasa natumia simu ya tochi.
Unawajua watu wewe au unazungumzia viwatu utakuwa mama wakambo wa jonii nini mana inakuuma mpaka hujui kuwa unachokinena
Kabla hatujafunga mjadala @Heaven on Earth ile screenshot ya full details ya kadi ya gari naihitaji uliahidi kunitumia ili akidi itimie
Kuku unachinja wewe mi nanunua pedi habari ndo hiyoHuyo Kuku tutamla wote.............,ununue za kutosha hizo pedi