Shikamoo wasanii wa bongo, naomba mnijibu maswali yangu

Shikamoo wasanii wa bongo, naomba mnijibu maswali yangu

Status
Not open for further replies.
Gari limewatoa imani vijana.........

Kemp ushampa salam zangu lakini??????????????
Gari limtoe imani nani? Tuko kwa ajili ya mabadiliko, wasitengeneze illusion za urongo kwa vijana wetu ambao wanataka kuingia kwenye tasnia. Kemp hadi niende kwenye grupu, simu yangu nimeiweka kando kidogo, kwa sasa natumia simu ya tochi.
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wa kupiga mswaki niwe mie sio wewe uliyekurupuka
bila kuchamba kuja kuvamia watu..,

Sina acces ndio maana niko huku we mwenye Acces mbona uko huku kupiga
umbea usiokua na data kamilin RUDI SIASANI UKASAIDIE TUNAVYOWEZA KUPATA KATIBA BORA??????????
We unahisi huku ni umbeya tu huku tunakuja kuwachana ma role model wako kina wema ambao wanawatia kichwa mjini hapa mkue mjue maisha ni zaidi ya muvi unazoona wanaigiza eti keki ya mamilioni mi napata shida nikiona msichana kama ww ambae bado hujawahi jinunulia pedi unakuwa na mawazo mgando
 
Una maswali mengi......kwani we ni polisi.......?
Hahahahahaaa.....Halafu wewe siku nikikufuata huko utanibeba, kwanini ulinidanganya tuseme kila siku unasahau? Mia
 
Gari limtoe imani nani? Tuko kwa ajili ya mabadiliko, wasitengeneze illusion za urongo kwa vijana wetu ambao wanataka kuingia kwenye tasnia. Kemp hadi niende kwenye grupu, simu yangu nimeiweka kando kidogo, kwa sasa natumia simu ya tochi.

Sasa we unataka mabadiliko gani????????????????

walisema atatoa zawadi gani akatoa gari..., wakasema kadi iko wapi
tukawapa kadi..kadi wakasema jina wapi jina likaonyeshwa sa hivi mnasema
wanaweza ku edit......... Martin alisema yeye mwenyewe hawezi kununua hilo
gari kuna support kaipata... hata mimi hapo nikaona kweli,

ndio maana umekua adimu kumbe........
 
We unahisi huku ni umbeya tu huku tunakuja kuwachana ma role model wako kina wema ambao wanawatia kichwa mjini hapa mkue mjue maisha ni zaidi ya muvi unazoona wanaigiza eti keki ya mamilioni mi napata shida nikiona msichana kama ww ambae bado hujawahi jinunulia pedi unakuwa na mawazo mgando

Hizo pedi we ndio huwa unaninunulia???????????????

Eti kumchana basi angeshachanika na mwili ukaisha..........
maana we sio wa kwanza na wala sio wa mwisho............
 
Hizo pedi we ndio huwa unaninunulia???????????????

Eti kumchana basi angeshachanika na mwili ukaisha..........
maana we sio wa kwanza na wala sio wa mwisho............
Mi nikikusaidia wewe na ukaokoka toka kwenye huo ulimbukeni ntakuwa nimemsaidia mwana jamiiforum mwenzake kwani we hupendi nikikubadilisha ukaelewa na ukabadilika na kuelewa kuwa asilimia zaidi ya asilimia tisini ya wasanii wa bongo ni waongo na wewe ukaenda kuwasaidia wengine mabadiliko yanaanzia hapa
 
Mkuu thanks sana,inaonyesha una data za hawa watu ,mara ya kwanza nilijua unaweza ukawa ndugu wa upande wa either Mchomvu (maana wote wawili..Adam na Aisha sir name zao ni Mchomvu) lakini nimejiridhisha pasi na shaka unawajua hawa watu lakini una data za zamani na huna current informations zao za karibuni...Mchomvu haendeshi Gx 100,lakini alikuwa na GX mia kama miaka mitatu imepita akauza akanunua hypsum(kama kumbukumbu iko sawa) akauza nayo saizi anakigari kimoja kama dizain vitz (but not vitz)..nimesahau jina lake...Aisha hajawahi kuwa na GX 100 mara ya mwisho nakumbuka alikuwa na RAV4 nyeusi milango miwili akauza (I think anayo Tino) akanunua Verosa...nenda pale kwa adam mbezi ya chini karibu na new oilcom utaproove ..tena utamkuta Aisha pale wa kujifungua leo kesho..mbona Adam anafight sana angalia anavyozunguka fiesta karibu zote inamaana analipwa mchanga ashindwe kununua Gx 100 mkuu? mkuu issue ya duka la nguo pale sio sababu ya Aisha kutokuwa na hela au lah..jiulize lilifunguliwa lini na mzigo alikuwa anafuata nch gani,by the way duka lile lishafungwa muda mrefu sana

Hahahahaaa....!!!. Nshakufahamu. Mambo yanaendaje mkuu? Mpe hi Tina. Ngoja nimuache brother Mchomvu. Mwambie Aisha aiuze ile Verosa kila siku kwa fundi..hahahaaa...!!. Mia
 
Mhhhhhhhh mbona sijaona uliponifungua ujue..........

Nisamehe kwa maneno yangu

:sorry::sorry::sorry::sorry:
Kabla hatujafunga mjadala @Heaven on Earth ile screenshot ya full details ya kadi ya gari naihitaji uliahidi kunitumia ili akidi itimie
 
figganigga can't you see the difference.............

Ingekuwa hivyo ingeshajulikana mbona
Mama, Mimi neno lako kwangu sheria. Sithubutu hata kukubishia. Tatizo langu hawa watu siwaamin kwani hawashindwi kugushi kitu kama hicho ili kujisafisha mitandaoni japo haina ulazima wa kufanya hivo. Tangu Lulu alipokutwa gari yake inatumia P.O.Box ya Polisi nliogopa sana na ili hawa niwaamini inanichukua muda. Umeshindaje Mama yangu. Mia
 
Gari limtoe imani nani? Tuko kwa ajili ya mabadiliko, wasitengeneze illusion za urongo kwa vijana wetu ambao wanataka kuingia kwenye tasnia. Kemp hadi niende kwenye grupu, simu yangu nimeiweka kando kidogo, kwa sasa natumia simu ya tochi.

Mkuu Mimi nimesoma michango karibu yote humu lakini nimeona mjadala uliotawala ni gari na watu hawaamini kama aliyepewa kapewa na wana hitaji uthibitisho kama kweli ni yake!
Lakini sijaona uthibitisho sehemu yeyote humu kuwa hilo gari si la muhusika!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom