Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo kwa Adamu umeleta uongo,Adam Mchomvu ana gari yake ndio anatembelea,halafu Aisha Mchomvu ni mke halali wa Adam,,jama ni mpiganaji sana tofauti na unavyomsikia radion au kwenye vijiwe
Usitake tuendelee kumchafua huyo Mvuta mgongea bia Mchomvu kwa kumuita mpiganaji kapigania nini..........Huyo demu Aisha namfahamu kiundani toka wanaishi kinondoni walipopanga mtaa wa Dunga ye na dada yake Mama L kama unamfahamu vizuri malizia hilo jina usiwape watu vyeo wasivyokua navyo........kama ye mpiganaji na warumi tumwite nani
We ndo kichekesho unavyompamba mtu kama ww ndo bwana ake huyu ni marioo wa zamani tena hatangazwi we ndo hujui au una taarifa za uongokwani warumi mpiganaji au ni mtu wa udaku..humjui Adam..and huyo demu pale kwa Mama Lo....n alikuwa anaenda tu hajawahi kuish maana that time huyu demu alikuwa anaish mbezi ya makonde karibu na Essack...bado humjui
hapo kwa Adamu umeleta uongo,Adam Mchomvu ana gari yake ndio anatembelea,halafu Aisha Mchomvu ni mke halali wa Adam,,jama ni mpiganaji sana tofauti na unavyomsikia radion au kwenye vijiwe
Mkuu ney Kajenga Nyumba yake Mwenyewe. Labda hayo Magumashi ungesema ni yapi.Ney wa mitego ni muongo tu ndio walewale wenye majumba ya 400m kumbe magumashi.
Ney aliwekeza hela akapunguza starehe, Kwakuwa alikua na Kiwanja Kajenga Nyumba Kitu ambacho watu hawakuamini, hadi wanashangaa katoa wapi hela za gafla za kujenga nyumba.Meneja wake alishafunguka kwamba anashangga utajiri aliupata Ney ni wa ghafla mno..
Ney wa mitego ni muongo tu ndio walewale wenye majumba ya 400m kumbe magumashi.
Hahahahaaaa....!!!. MiaUnafuatilia maisha ya watu kama mchawi!..kwani wewe babayako anaendesha gari gani au ana ghorofa ngapi?
Ney wa mitego ni muongo tu ndio walewale wenye majumba ya 400m kumbe magumashi.
Mkuu mambo vipi, habari za kuadimika?. MiaNami nasubir,,,,....
Ndio maana nikaamua niulize, Eti Lulu hana biasha wala Kazi yoyote zaidi ya kuact movie ambazo sio zake tena kwa msimu lakini eti naye anamiliki gari ya mil 16 na anaishi Nyumba kodi zaidi ya Laki sita kwa mwezi. Kwa hela zipi? Ndo maana Nauliza sababu naona kama vile usanii unalipa. MiaHata mi huwa wana ni shangaza sana life la maigizo hawaweki sources zao za income wala wengi wao hawana cha maana lakini ni mabilionea kweli bongo movie wana tamthilia kuliko la levencha
Hongera kwa kuanzisha Thread...........
Kaka Manager alishasema naomba usome ujumbe wake....
Yes . Not only Murano from ya baby diamondplatnumz this BMW is yours yes .
Suprised kuona jina kwa kadi?? I meant it this car came from kazi ndogo tufanyazo na
support kubwa ya watu who wish you the best always peke yangu nisingeweza bila support yao.
One thing you should know nimejitolea kufanya kazi na wewe because naamini kwa tanzania ur my
number one celebrity and my wish is to see u living as a truly superstar . Make my dreams come true basi..
People love u so much ..
From Kadinda
Haya Maswali inaonekana ni Magumu kiasi kwamba yamewafunga midomo hadi TEAM ZAO. Lakini kama wakinipa ufafanuzi nitafurahi zaidi. Au teamwema siku hizi hawalipwi? Hela itakua imekata. hahahaaa...!!!. Miamaswali magumu looooh